Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,532
- 1,118
Mkoloni Ana Njaa, Nasikia Ni Msaidizi Wa Sugu Kwenye Mambo Mengi.
Nahisi Mkoloni ana ajira yake Times Fm, halafu ni dereva wa Sugu kama sikosei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoloni Ana Njaa, Nasikia Ni Msaidizi Wa Sugu Kwenye Mambo Mengi.
KWANZA POLENI NA SAMAHANINI KWA HALI YA
SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA LEO KUTOKANA NA
TAARIFA ZA GHAFLA ZA USULUHISHI KATI YETU
NA RUGE/CLOUDS FM,NI KUTOKANA NA UNYETI
WA ISSUE YENYEWE ILIBIDI TUFANYE HIVYO
KWA NIA NJEMA KABISA...KWANZA NAOMBA
TUJIPONGEZE KWA KUWA TUKIO LA LEO NI
USHINDI KWA VINEGA KWA MAANA KWAMBA
MADAI YETU YOTE YA MSINGI NDIO YALIKUWA
MSINGI WA MAJADILIANO NA RUGE AMEKUBALI
KUYATEKELEZA YOTE...
Hii ilikuwa siasa tupu wakuuu hamna kilichofanyika
nabii koko
Yoh Yoh Yoh
picha inaongea mengi.
Wamesimama kinyonge,afu muangalie Fetty na Mchomvu, yaani kama dhihaka flani hivi....
Yoh Yoh Yoh
Kusa(re)ndaKusanda maanake nini?