Vineno vidogo vya Kiingereza vinavyosumbua baadhi ya wazungumzaji

Namshukuru sana mzee wangu,nikiwa darasa la kwanza aliniambia penda kusoma magazeti ya kiingereza,tv angalia habari za kiingereza.leo hii pamoja na kuanza na kumalizia kayumba naburuza sana,na mpaka leo bado naendelea kusoma na kufanya mazoezi.namshukuru sana babaangu

Sawa bwana! Japo kila baada ya nukta uanze na herufi kubwa basi!
Sio ndo kupuyanga tu!
 
kwenye vijiwe vya football, liko neno ambalo hata watu linawasumbua. Defence and defend.
Mfano: Timu ya Costa Rica inaji 'defence' zaidi.
Bora hayo mkuu kuna hili pia "ball position" badala ya "ball possession"

Mfano;- utaskia m2 anasema "ujerumani wanaongoza ball position kwa 80%"

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
His work is prefessional. = Anafanya kazi kitaalamu.
His work is unprofessional. = Ni mtaalam lakini hafanyi kazi yake kitaalamu. Labda kutokana na uzembe.
The opposite of a Professional is an Amateur m.y mtu asiyejitafutia riziki kwa kazi yake k.m. mwanariadha (Uridhaa = Amateurism)
 
Zote sawa, kwani we ulitakaje?

Mkuu na wewe ni wale wale wanaochanganya hayo maneno, haiwezi kuwa zote sawa hata katika uandishi tu ziko tofauti, kwa kukusaidia tu ni Kuwa Butcher ina maana ya yule mtu anayeuza nyama, au anayechinja nyama, na wakati mwingine hutumika kuelezea muuaji kwa maana ya mchinjaji. Butchery ni duka la kuuzia nyama, ambalo mara nyingi hapa kwetu waswahili ndio hiuta Bucha!
 
Ndio haswaaa zote sawa!
 
Kwa kukuongezea tu...Butchery ni kitendo cha unyama unyama
 
Sikiliza wasanii wa bongo fleva na bongo movies wakifanyiwa interview jinsi wanavyo changanya 'support na supporter'

ha ha ha mkuu umetisha tangia nimeanza kuwasikilixa hajawahi hata mmoja kutamka kwa ufasahs
 
Back
Top Bottom