Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makosa mengi hapa yanaletwa na uzembe kuliko ukosefu wa ufahamu.
Kuna ya Kiswahili yanakosewa na yanakera
Amna badala ya hamna
Akuja badala ya hakuja
Malazi badala ya maradhi
Nafikiri hayo yote ni maneno sahihi ya kiswahili, lakini inategemea yametumika katika muktadha gani.
Pia kuna hizi prepositions mf. in, on na at
Prepositions ni global issue...nadhani hata waingereza wengi zinawasumbua.
Hakika Heaven Sent haya maneno mawili leave na live husumbua wengi!Leave na live
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Dreadnought asante kunikumbusha matumizi ya prepositions. Kwetu uswahilini hatujazizoea hata kidogo kiasi kwamba utasikia mtu akikwambia: Listen me!Pia kuna hizi prepositions mf. in, on na at
Dreadnought asante kunikumbusha matumizi ya prepositions. Kwetu uswahilini hatujazizoea hata kidogo kiasi kwamba utasikia mtu akikwambia: Listen me!
Kweli dogo WANAKUKELA sana:Kukela vs kukera