Vineno vidogo vya Kiingereza vinavyosumbua baadhi ya wazungumzaji

Vineno vidogo vya Kiingereza vinavyosumbua baadhi ya wazungumzaji

mmoja ajitokeze aweke bayana wasio juwa au wanao sumbuliwa kama mm tuweze kuelewa vema...
 
Wasanii wa bongofleva ndo kabisaaa.Wanasumbuliwa sana na ufahamu wao finyu wa lugha ya kiingereza.Wao ni wataalamu wakubwa wa 'yaaa!, of coz, at least, .....'

utasikia msanii kwa kubama pua. Eti,fans(fanzi)wangu kanipigia simu..huwa wananikela kama nini.
 
Leave na live

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
na hili pia 'repeat again' badala ya kutumia neno moja tuu kati ya repeat au again
 
Kuna watu Tanzania hii hata lugha yao ya Taifa hawajuwi wapi waweke R na wapi waweke L, wewe unaona ajabu hiyo lugha ya kigeni?
 
Hata haya maneno "kagonokasibility na cundulaligates" yanawatesa sana watu.
 
Back
Top Bottom