Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Ha ha ha kuna watu dah....acha nilale mie
Usilale kijana, watu tumesoma shule za zamani wakati wa kiingereza cha mkoloni. Ni greek na roman words basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha kuna watu dah....acha nilale mie
Uuuwi... wapi my dikshenari yangu
Kwani watanzania wote wamezaliwa na kukulia Tanzania?
Except na accept.
Hapo mkuu umenena wengi sana huwa wanasema hivyo tena una kuta mtu mzima amekomaa kweli na maneno mengine ni Draw, wanasema jamaa wamepata DRAWN (SARE)!!!! NA ball possession wao wanasema ball position!! ole wako umkosoe unaweza kupigwa ngumi pale.kwenye vijiwe vya football, liko neno ambalo hata watu linawasumbua. Defence and defend.
Mfano: Timu ya Costa Rica inaji 'defence' zaidi.
Unaona IQ zetu zilivyo, hilo swali au ujinga?
Except vs Expect
Unaona IQ zetu zilivyo, hilo swali au ujinga?
Yote tisa...kumi ni adapt vs adopt. Niliskiliza intavyu ya Happy Magese na mtangazaji wa Global publishers nikashangaa sana..maana mtu mwenyewe ameishi SA na USA! Mi hua nahisi sio ujinga bali ni ubishi, watu hawataki kukubali hawajui na kujifunza.
Nimerudi sasa, enhee ujinga wangu uko wapi? Una hakika unaweza pima IQ yangu kwa naive ideas kama hii?
Back the topic: nashangaa sana mtu ana passport ya Tanzania na hajui
Kiswahili, huu ni ujinga wa ccm yenu FaizaFoxy, ndio mana nikasema sio watanzania wote wanajua kiswahili.
Nenda Botswana, hujui
Kitswana hupati uraia, likewise Aussie kama hujapata band 6.5 and above kwenye TOEFL hupewi uraia. Sisi kwetu je? Wahindi kibao hawajui kiswahili.
Umeelewa sasa? Kuwa mtanzania haimaanishi unafaham kiswahili
Except vs Expect vs Excerpt vs Expect...

utasikia msanii kwa kubama pua. Eti,fans(fanzi)wangu kanipigia simu..huwa wananikela kama nini.