multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 577
Namshukuru sana mzee wangu,nikiwa darasa la kwanza aliniambia penda kusoma magazeti ya kiingereza,tv angalia habari za kiingereza.leo hii pamoja na kuanza na kumalizia kayumba naburuza sana,na mpaka leo bado naendelea kusoma na kufanya mazoezi.namshukuru sana babaangu
Butcher and Butchery
its na it's
Steal, still, steel usiombe ukakutana na hayo maneno ktk ripoti (report) kama umesimama utaanguka
Bora hayo mkuu kuna hili pia "ball position" badala ya "ball possession"kwenye vijiwe vya football, liko neno ambalo hata watu linawasumbua. Defence and defend.
Mfano: Timu ya Costa Rica inaji 'defence' zaidi.
Haswaa! Wawe wanaanza sentensi japo kwa herufi kubwa na waachage nafasi kati ya neno na neno!
Mkuu , Hiyo ilikuwa isomeke FIRE EXTINGUISHER????
Zote sawa, kwani we ulitakaje?
Mkuu na wewe ni wale wale wanaochanganya hayo maneno, haiwezi kuwa zote sawa hata katika uandishi tu ziko tofauti, kwa kukusaidia tu ni Kuwa Butcher ina maana ya yule mtu anayeuza nyama, au anayechinja nyama, na wakati mwingine hutumika kuelezea muuaji kwa maana ya mchinjaji. Butchery ni duka la kuuzia nyama, ambalo mara nyingi hapa kwetu waswahili ndio hiuta Bucha!
Kweli kabisa nyakahanga hizi homophones zinasumbua kwenye spellings zake
Yap, dereva wetu kila siku analalamika anasumbuliwa na matraffic hana exfaya tingisha..
Mkuu na wewe ni wale wale wanaochanganya hayo maneno, haiwezi kuwa zote sawa hata katika uandishi tu ziko tofauti, kwa kukusaidia tu ni Kuwa Butcher ina maana ya yule mtu anayeuza nyama, au anayechinja nyama, na wakati mwingine hutumika kuelezea muuaji kwa maana ya mchinjaji. Butchery ni duka la kuuzia nyama, ambalo mara nyingi hapa kwetu waswahili ndio hiuta Bucha!
Zote sawa ila its ya kwanza ungeanza kwa herufi kubwa.
Kwani ulitakaje?
Sikiliza wasanii wa bongo fleva na bongo movies wakifanyiwa interview jinsi wanavyo changanya 'support na supporter'