Ving'amuzi (speed limit) "ilikuwa" mradi wa kundi dogo la watu (CCM)

Una hoja lakini huna taarifa
Hakuna speed governer kwenye mabasi kwa sasa , bali kuna gps module ambayo inafanya kazi kama vehicle tracking sytem, controler wa mfumo huu ni Latra,
Next time ukiona basi linakimbia hovyo , jua kuwa wadau wana maelekezo ya hao hao latra officials , ni rushwa .
Kumbeeeee !! Na latra wanashiriki kwenye chinjachinja inayoendelea 🙄🙄 tuwekeeni namba za simu za wapi turipoti kama dereva anaendesha kwa mwendo kasi ( tena ikiwezekana namba hizo ziwepo kwenye ticket ya Basi) !
 
Haha haha
Sio rahisi kama unanvyodhani,
Ndo maana watu wanalilia katiba mpya!!! , namba za wahusika kuanzia mkuu wa polisi latra na mamlaka kadhaa zipo kwenye kila basi .
 
Back
Top Bottom