Ving'ora vya ambulance vimeongezeka maradufu Dar es Salaam, kuna nini?

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,371
Inaonekana huduma za afya kwenye Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili na hospitali za rufaa zimeboreshwa sana kiasi kwamba kila baada ya dakika kumi inapita ambulance, au kuna kingine?
 
mkuu unajiamini sana, wakuu wako mitamboni wanakudekerea tu🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…