Ving'ora vya ambulance vimeongezeka maradufu Dar es Salaam, kuna nini?

Ving'ora vya ambulance vimeongezeka maradufu Dar es Salaam, kuna nini?

Acha kuleta hofu kwa wananchi, mkuu. Hujui kwamba hata wajawazito upigiwa ving'ora, au umesahu ama unafanya makusudi!?
 
Hata huku mikoani vimekuwa mob nimevishuhudia jion hii ambulance mbili zinapita kwa mbwembwe watu kimyaa .sasa sijui ni nn
 
Huduma za afya zimeboreshwa au we Bavicha ulitakaje,,
 
Kwani huko chuo hamkupewa assignment mzifanye kipindi hiki Cha likizo?
 
Back
Top Bottom