Ving'ora vya ambulance vimeongezeka maradufu Dar es Salaam, kuna nini?

Ving'ora vya ambulance vimeongezeka maradufu Dar es Salaam, kuna nini?

Inaonekana huduma za afya kwenye hospitali kuu ya taifa muhimbili na hospitali za rufaa zimeboreshwa sana kiasi kwamba kila baada ya dakika kumi inapita ambulance, au kuna kingine?
Watu wanakata moto kama upepo na kuzikwa usiku usiku kimya kimya na manispaa kama mizoga Mkuu.

Corona is REAL.

Siku moja usiku ukija kuchungulia nje ukaona kinachoendelea, asubuhi utakosa nguvu za kwenda kuzurula VIJIWENI.

Kwenye MiNCHI ya kikomunisti usitegemee taarifa sahihi kutoka kwa watawala.

Take CARE.
 
Hivi ni kweli kunawagonjwa wametoroka karantine? Hii itakuwa ni sababu ya kauli ya Rais kama ni kweli. Sasa badala ya kutaftwa na defender wanataftwa na ambulance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ambulance ni ngapi?

Maana mnajua sana kukuza habari ninyi kumbe ambulance zenyewe tatu tu!

Sasa hata hivyo mlitaka ambulance zisiwepo? si mmeshaambiwa kuna ugonjwa ama?

Zisipokuwepo mtasema serikali dhaifu haiwezi kupambana na majanga?

We nawe vipi

Mtoa mada kasema ongezeko Ina maana zilikuwepo hata Kama ni tatu then frequency imeongezeka labda zinaenda Mara kumi kumi na zilikua zinaenda Mara tatu tatu
 
We nawe vipi

Mtoa mada kasema ongezeko Ina maana zilikuwepo hata Kama ni tatu then frequency imeongezeka labda zinaenda Mara kumi kumi na zilikua zinaenda Mara tatu tatu
Jana na leo ni balaa!
Nawatakia uponyaji wa haraka wagonjwa wote wanaopambania uhai wao.
 
Back
Top Bottom