Ving'ora vya ambulance vimeongezeka maradufu Dar es Salaam, kuna nini?

"...hofu ni kubwa kuliko corona yenyewe..."
 
Wewe unapajua Dsm?acha ulimbukeni mleta uzi ameuliza,maana yake ni kwamba ,mwenyekujua kuhusu ving'ola atufahamishe.na siyo kila uzi lazima uchangie hata kama hujui kitu,hili jukwaa ni la watu wenye akili timamu, siyo kijiwe cha bangi.


Myribs
 
Inaonekana huduma za afya kwenye hospitali kuu ya taifa muhimbili na hospitali za rufaa zimeboreshwa sana kiasi kwamba kila baada ya dakika kumi inapita ambulance, au kuna kingine?

Speculation yako inakuambiaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…