Unamzungumzia mchezaji ambaye panga pangua ya kila mechi ya Madrid hawezi kukosekana. Unamzungumzia mchezaji ambaye ametengeneza combinationa bora sana kati yake na Benzema. Hizo poor poor zako ndio Ancelloti zimempa Laliga na UEFA huku ViniJr akiwa mwamba imara.
Unamjudge mchezaji kwa match moja ambayo timu nzima haikupata matokeo. Oooh what a Poor Judgement [emoji23]View attachment 2539351
Benzema alikwambia hayo mkiwa wapi? Namaanisha ushahidi sio vikauli vya kuokotezaMchezo mmoja? Unafahamu kuwa Benzema aliwahi kuwambia wachezaji wenziwe wasimpe mipira Vini kwanu huwa anasaidia timu pinzani
'He's playing against us' - Watch the moment Benzema told Mendy not to pass to ViniciusBenzema alikwambia hayo mkiwa wapi? Namaanisha ushahidi sio vikauli vya kuokoteza
Iko wazi uyu kenge kachaniwa mkekaItakua mkeka umechanika
We itakuwa umeanza kumuangalia vinicius kwenye mechi mbili zilizopita za MaddridJamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji.
Dribbling Poor
Pass Poor
Shoot Accurate Poor
Anapenda kujitupa tupa kama mlemavu
Anapenda kulalamika na kulilia kupitiliza (Typical South American + Black People )
Hajui hata anafanya nini anapokua na mpira, Pakupiga shoot antoa pasi, Pakutoa Pasi anapiga shoot
Ni mchezaji wa ovyo sana.
Binafsi naamini ana mzimu mzetu anaotegemea mana haingii akilini uoza anaoufanya bada akaendelea kupewa namba.
Hii ilikuwa zamani miaka kama 3 nyuma hivi, sasa ame improve sana
Hii ilikuwa zamani miaka kama 3 nyuma hivi, sasa ame improve sana
Huwa inaangalia mechi za Madrid?Ame improve? My foot