Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa inaangalia mechi za Madrid?
Kama unaanglia live kila siku basi napata mashaka na uelewa wako wa mpiraTena Kila siku, sitizami matokeo live scorer kama nyinyi
Jamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji.
Dribbling Poor
Pass Poor
Shoot Accurate Poor
Anapenda kujitupa tupa kama mlemavu
Anapenda kulalamika na kulilia kupitiliza (Typical South American + Black People )
Hajui hata anafanya nini anapokua na mpira, Pakupiga shoot antoa pasi, Pakutoa Pasi anapiga shoot
Ni mchezaji wa ovyo sana.
Binafsi naamini ana mzimu mzetu anaotegemea mana haingii akilini uoza anaoufanya bada akaendelea kupewa namba.
Mkeka huoItakua mkeka umechanika
Ushahidi kamiliKama unaanglia live kila siku basi napata mashaka na uelewa wako wa mpira
Ni mchezaji gani anaye create chance nyingi pale Madrid zaidi ya Vini?
Ndio mwenye assist nyingi na magoli mengi zaidi msimu huu pia
Kwa kifupi ndio mchezaji bora pale Madrid msimu huu
View attachment 2539448
Huyu alikua mchezaji bora huko amerika ya kusini na ndio madrid ilipomuona kwa jicho la tatu na kumbeba jumlaJamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji.
Dribbling Poor
Pass Poor
Shoot Accurate Poor
Anapenda kujitupa tupa kama mlemavu
Anapenda kulalamika na kulilia kupitiliza (Typical South American + Black People )
Hajui hata anafanya nini anapokua na mpira, Pakupiga shoot antoa pasi, Pakutoa Pasi anapiga shoot
Ni mchezaji wa ovyo sana.
Binafsi naamini ana mzimu mzetu anaotegemea mana haingii akilini uoza anaoufanya bada akaendelea kupewa namba.
Alipoanza kutaja weusi nikakasirika kisirisiri, alipozidi kukandia nikaiona chuki dhahiri(hampendi)MICHEZO YA KUSHANGILIA IPO MINGI.juzi kati hapa wakati simba kafungwa tatu na raja wasiojua mpira walilalama sana.Wakainanga sana simba mbovu yote.Jana soka ikawakumbusha kitu.MAN U AKALA SAMA BILA, SEVILLA AKAKAUSHWA SITA MOJA.MPIRA NDIVYO ULIVYO.kama hawaujui na kuuweza hata rede nao ni mchezo.POOR TANZANIANS.Unamzungumzia mchezaji ambaye panga pangua ya kila mechi ya Madrid hawezi kukosekana. Unamzungumzia mchezaji ambaye ametengeneza combinationa bora sana kati yake na Benzema. Hizo poor poor zako ndio Ancelloti zimempa Laliga na UEFA huku ViniJr akiwa mwamba imara.
Unamjudge mchezaji kwa match moja ambayo timu nzima haikupata matokeo. Oooh what a Poor Judgement [emoji23]View attachment 2539351
Benzema na Don Carlo ancellotti nani ana akili zaidi?Mchezo mmoja? Unafahamu kuwa Benzema aliwahi kuwambia wachezaji wenziwe wasimpe mipira Vini kwanu huwa anasaidia timu pinzani
Nimesoma vizuri hiyo link yako yan ni imaginations tu inaongelewa hakuna uhakika wa hiyo story inayo jaribu ku preach hapa.
Record zake zitakuumbua tuAme improve? My foot
Huyu jamaa anachuki binafsi na wachezaji blacks sijui walishamfanya niniAlipoanza kutaja weusi nikakasirika kisirisiri, alipozidi kukandia nikaiona chuki dhahiri(hampendi)MICHEZO YA KUSHANGILIA IPO MINGI.juzi kati hapa wakati simba kafungwa tatu na raja wasiojua mpira walilalama sana.Wakainanga sana simba mbovu yote.Jana soka ikawakumbusha kitu.MAN U AKALA SAMA BILA, SEVILLA AKAKAUSHWA SITA MOJA.MPIRA NDIVYO ULIVYO.kama hawaujui na kuuweza hata rede nao ni mchezo.POOR TANZANIANS.