Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni hasira za mikekaJamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji.
Dribbling Poor
Pass Poor
Shoot Accurate Poor
Anapenda kujitupa tupa kama mlemavu
Anapenda kulalamika na kulilia kupitiliza (Typical South American + Black People )
Hajui hata anafanya nini anapokua na mpira, Pakupiga shoot antoa pasi, Pakutoa Pasi anapiga shoot
Ni mchezaji wa ovyo sana.
Binafsi naamini ana mzimu mzetu anaotegemea mana haingii akilini uoza anaoufanya bada akaendelea kupewa namba.
Huyu aliyefunga goli la ubingwa wa UEFAJamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji.
Dribbling Poor
Pass Poor
Shoot Accurate Poor
Anapenda kujitupa tupa kama mlemavu
Anapenda kulalamika na kulilia kupitiliza (Typical South American + Black People )
Hajui hata anafanya nini anapokua na mpira, Pakupiga shoot antoa pasi, Pakutoa Pasi anapiga shoot
Ni mchezaji wa ovyo sana.
Binafsi naamini ana mzimu mzetu anaotegemea mana haingii akilini uoza anaoufanya bada akaendelea kupewa namba.
Pengine ana moyo wa mzungu.Huyu jamaa anachuki binafsi na wachezaji blacks sijui walishamfanya nini