Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Kibu deeeKibu diiii
Ana mashuti huyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibu deeeKibu diiii
Turejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African.
Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio wazee kama kina chama na saido.
Sasa nataka muangalie je kati ya Hawa mawinga wawili , nani ni mkali kishinda mwenzie, japokuwa mmoja anacheza ulaya na mwingine anacheza Africa.
Mwamba ana jina kali sana, tumpe maua yake. Anakimbia kwa kunesanesa kama anataka kupepea.Jesus Ducapel Moloko, the best of all time