Karibu sana mkuu,kisiwa cha Kobe kinaitwa Changuu Island(almaarufu PRISON ISLAND).Hahahahaaaaaaa Zanzibar Spices nakuja Zenji mwezi ujao nina session kule kisiwa cha kobe niandalie pweza wa kubanika
Karibu sana mkuu,kisiwa cha Kobe kinaitwa Changuu Island(almaarufu PRISON ISLAND).
Ukishuka pale na boti unaingia Forodhani Food park unapata Pwezzzaaa safiii.
Ningependa Tuonane,lakini unanitia mashaka sana,naona Post zako zimekaa kutisha tisha kama vile Mtu alietoroka kwenye Kambi ya Freemasons.
Karibu Sana kamanda
Jamani naomba leo na declare interest kwamba.
Masai Dada ni mke wangu wa ndoa kabisaaa.
Sasa baada ya mada ya mshana ya midoli na sanamu,naomba kuleta mrejesho.
Huyu mke wangu Masai Dada anaile midoli na sanamu za kimasai zile kubwaa ukienda hadi ikulu unakuta umesimamishwa,nyingine zinawekwa hadi manyonyo.Sasa kuna moja analipenda saaana hadi amefanana nalo kabisaa.Sasa baada ya uzi huu wa Mshana,hasira zote zinakishia kwenye hayo madoli na sanamu,nimeyachoma moto yooote.
Tatizo limebaki sasa Masai Dada na yeye anamuona kama lile moja nililoliochoma moto waliokuwa wanafananalo,sasa nimpe Talaka au nimpeleke akaombewe,maana usiku naona silali vizuri,nahisi kukabwa kabwa na kushikiwa sime na shemeji zangu Morani.
Mshanaa,Mshanaa,kesi zinaendelea
IULIZE Biblia kwanini inatumia rangi Nyekundu inapo mnukuu Mungu Mkuu ambaye ni Yesu?
IULIZE Biblia kwanini inatumia rangi Nyekundu inapo mnukuu Mungu Mkuu ambaye ni Yesu?
Post yoote ilikluwa inaenda vizuri,ila hiki kiumbe ndio kinaanza kuleta mambo yake yaleeee.
Hembu mpotezeeni kwanza tuendelee na Mada yetu na yeye aendelee na midoli na sanamu zake,sio kutuletea udini humu.
Mshana mpotezee anatutoa kwenye stand huyu
Ndio maana unashauliwa ukinunua mdoli/ kinyago peleka vikafanyiwe maombi kabla havijafika nyumbani
hakuna cha kupeleka popote.. ni kuviombea we mwenyewe.. kwani maombi yako nayo yatasikiwa tu.
Uoga wa akili ndio umejaa kwenye nyoyo yako. Sishanagi maana weye sio wa kwanza kuogopa, hata yule kiumbe wa middle east, naye alikataza kuulizwa maswali, sembuse weye unaye bwabwaja hapa.Post yoote ilikluwa inaenda vizuri,ila hiki kiumbe ndio kinaanza kuleta mambo yake yaleeee.
Hembu mpotezeeni kwanza tuendelee na Mada yetu na yeye aendelee na midoli na sanamu zake,sio kutuletea udini humu.
Mshana mpotezee anatutoa kwenye stand huyu
Hapa nadhani tukubaliane kuwa ubinafsi ndo unawapeleka huko kwenye uongozi na wala si kutenda haki kwa waTZ wote.
Kitu kingine ni kuwa je ushaona kiongozi akienda japo kufanya checkup kwenye hospitali zetu???....Kama mambo yenyewe ni kama kwenye hiyo picha ya hospitali unadhani watadhubutu??...mambo yote, hata kupimwa miwani wanafanyia majuu...
Hospitali hizi ni zetu sisi. Yaani walengwa wa hizi hospitali ni sisi, wala siyo wao. Walengwa wa hilo jengo ni wao wala siyo sisi!
Vinyago tuchonge wenyewe alafu vitutishe?