Jamani naomba leo na declare interest kwamba.
Masai Dada ni mke wangu wa ndoa kabisaaa.
Sasa baada ya mada ya mshana ya midoli na sanamu,naomba kuleta mrejesho.
Huyu mke wangu Masai Dada anaile midoli na sanamu za kimasai zile kubwaa ukienda hadi ikulu unakuta umesimamishwa,nyingine zinawekwa hadi manyonyo.Sasa kuna moja analipenda saaana hadi amefanana nalo kabisaa.Sasa baada ya uzi huu wa Mshana,hasira zote zinakishia kwenye hayo madoli na sanamu,nimeyachoma moto yooote.
Tatizo limebaki sasa Masai Dada na yeye anamuona kama lile moja nililoliochoma moto waliokuwa wanafananalo,sasa nimpe Talaka au nimpeleke akaombewe,maana usiku naona silali vizuri,nahisi kukabwa kabwa na kushikiwa sime na shemeji zangu Morani.
Mshanaa,Mshanaa,kesi zinaendelea