Vinyago/midoli vina roho

Sasa dubwana kama hili nalo mtu analiweka ndani mwake la nini?

Kuna watu hawana uwezo wa kuishi maisha yao wenyewe kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu hivyo hutafuta support ya madubwana kama hilo!kwa haraka utadhani ni pambo lakini nyuma yake kuna siri kubwa
 
Huyu naye alikuwa na roho wachafu wenye mikosi
kwa sasa yuko jumba la makumbusho
unaweza kum....google
''Robert the doll''.
 

Attachments

  • doll.jpg
    9.5 KB · Views: 171
haiwezekani....
 
Mi nakataa haiwezekani mudoli umeunua halafu ubadilike. :sad:ya kweli hayo:sad: :A S-rap::A S 100:

haiwezekani....

Ili nitokea kabisa hii issue live bila chenga kabisa. Hakuna lisilowezekana chini ya jua. Mwanzo nilikua mgumu siku yaliyonipata ndo nikaelewa. Dunia ina mambo mengi sana yanaendelea kwenye ulimwengu wa kiroho sema sio binadamu wote hufunuliwa na kuona yanayoendelea.
 

Nimeolewa kwa uji...kwanini nivipumzishe?
Acha viteseke
 
Last edited by a moderator:

naona hata wale wenye imani wote wameyumba kwa bandiko lako hili,ulichokiandika ni kweli kabisa lakini siyo kwa extent hiyo.siyo kila kinyago kina roho chafu.roho chafu hukaa hata kwa binadamu,je ni sahihi kusema kila binadamu ana roho chafu?hapana.nakubaliana na wewe kuwa kuna vinyago hukaa roho chafu kama walivyo binadamu vile kuwa kuna watu wana roho wachafu kama vile majini na wengine hawana roho hao.

Nikupe mfano mmoja mdogo tu bro,ukisoma historia ya yesu kuna sehemu alimtoa mtu mapepo na kuyaamuru yakawaingie nguruwe.kuna watu wengine mpaka leo hii hawali nguruwe kwa kuamini kuwa wana mapepo.ukiangalia kwa haraka utaona kuwa nguruwe walioingiliwa na mapepo na kufa siku ili walikuwa wale tu waliokuwa eneo lile na siyo nguruwe wote wa israel.

Hii mkuu tunaita stereotyping yaani unachukua tabia moja ya kitu kimoja na ku generalize kuwa jamii nzima ya vitu hivyo vina tabia hiyo.hapa umewakamata watu kwa uoga na hisia tu.hata wale wenye imani zao zimeyumba.ukiwauliza wote waeleze ni kisa kipi walishawahi kupata kuhusu midoli kati ya elfu utakuta ni mmoja tu ndiyo mwenye stori aliyoishuhudia zaidi ya stori za kuambiwa na kusikia
 

Umeenda vizuri lakini hukuzingatia kwa kina andiko langu sikumanisha kila mdoli Pasco naye alitahadharisha kuhusu hilo na tukaeleweshana na akanielewa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…