Nlihadithiwa kuna mwanamke anapenda mdoli wake sasa alipoolewa akauchukua kwake basi kila wakirudi kazini yeye na mumewe wanakuta pamepikwa panasafishwa na vyombo vimeoshwa akawa anawauliza nduguze kama wao ndio wanakuja kufanya hivyo kumbe ule mdoli shetani ndio amefanya nyumba yake na ndio unafanya pirika zote