Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

Mi niliambiwa midoli vinyago si mizuri kuweka ndani nikawaga siamini mana nilikua naipenda kuiweka sebuleni. Sasa siku moja nikiwa nimelala nimeiweka pembeni nikaona mdoli una nyanyuka na kunirukia nilipiga makelele ya hatari na kutetemeka juu. Tangia siku hyo nimekoma hata kuibeba. Kweli vinyango ni ma spirits machafu kabisa na inaweza ikawa inaleta mikosi.

IKO HIVI WANAJAMVI.
shetani na mtandao wake wana alama za viwakilishi vinavyowapa uwezo wa kufika. viwakilishi hivi vinatengenezwa kimakubaliano.
mfano agenti yeyote wa kipepo kama mpiga ramli anapokueleza kitu ndio makubaliano yanapofanyika. atakuambia chukua kinyago hiki kitakusaidia jambo kumbe inakuwa ni alama ya kukumulika ambapo JINI HUSIKA LITAKUFUATA POPOTE UNAPOKUWA NA KINYAGO.

Vimdoli havina roho ila vingi vinatumika kama alama ya kuvuta majini kupitia mikataba husika. ukikamata mdoli uliopitia mkataba wa kijini LAZIMA MAJINI HUSIKA YAKUFUATE.ALAMA IPO katika umbo na wala sio iwe ni ule ule uliopitia kwa mpiga ramli. kama kiwanda kinatengeneza midoli aina fulani au UMBO na AINA/UMBO HILO lilipitia mkataba wa kipepo; basi wanaonunua midoli aina hiyo wanalo. siwatishi bali ni kweli.

Mana shetani ana mbinu za kuongeza mtandao wake kwa siri. Hii ipo pia katika kuchora tatoo za ambazo zinawakilisha mvuto kwa majini. Mleta mada kasema midoli ina roho; ki ukweli inatumika kama alama za kuvuta roho chafu kutokana na mkataba husika uko nyuma. shetani anazo alama zake ukizibeba atakufuata tu ujue usijue.
ipo hivyo wakuu.
 
Mungu asipolinda nyumba walindao wakesha bure. Lakini pia kwa wakristo Mungu mwenyewe kwenye biblia amekataza haya masanamu..
hizo roho chafu hupenda kukaa kwenye kitu chochote unachokipenda na kukithamini, zimaweza kukaa hata kwenye mafuta ya kupaka au hata kwenye nywele zako..
Cha muhimu ni kujiweka chini ya ulinzi wa Mungu,hizo roho hazitakusogelea kabisa.
 
Na Mimi nilikua na mingi mikubwa ya bear ka ya paka kila aina ka ya hyo siku hyo nilikoma nikaitupa yote.

Nina aunt yangu anaishi Mikocheni...yaani ukiingia chumbani kwa wanae, amewajazia midoli mpaka vitandani.

Halafu sasa, midoli yake ni ile ya kama mfano wa minyama-nyama, yaani inanyumbuka nyumbuka....akhaaaaa!!!!
 
mkuu ramea umeongea yaliyoko moyoni mwangu. hata mm nilikuwa na wazo hilo hilo juu ya reputation ya huyu mtoa mada humu ndani ukilinganisha na topic hii. big up
 
Mtenganishe kichwa na kiwiliwili..............mimi huyu tembo kesho out...........uwiiiiii......... nilimnunua ghali tena kwa pesa za kigeni..............
wee Mshana Jr..........hawa niajeniaje siwezi kuwaombea nikawatakasa..........?........coz kama kuna nguvu hasi.........lazima chanya itakuwepo............fafanua plz..........

Kama una maji ya baraka kimwagie tu
 
Last edited by a moderator:
Hapana, yeye ndiyo alitungiwa WIMBO kuwa ni kama sanamu la Micheleni.... Gauni akivaa anazi-Screw....

khadija_kopa1.jpg

Dah enzi ya enzi
 
Mshana jiheshimu..nimepoteza usingzi wangu wote ....duuuh uwe unaangaliaga na picha za kuleta basi mweh mweh

Sikitoagi hovyo hiki halafu hakitoki kwenye mkoba wangu...!labda nyakati za dharura tu mapambano yanapozidi
 
Niadisie plz........ilikuwaje........

Nilikuwa nalala nayo kitandani kwasababu nilikuwa naipenda sana ilikuwa minne miwili naweka juu ninakoweka kichwa mingine upande wa chini kwenye miguu Siku hiyo nmelala usiku sana ilinicheka sana na kunizomea na yale macho yao siku hiyo yalifumba na kufumbua kama ya binadamu sitasahau hii kitu kwenye maisha yangu yote
 
Pole sana mkuu hata Mimi nilikua nalala nayo ka we we tena nilikua naweka pembeni. Siku hyo ilinikomesha kabisa kwa kweli. Nimekoma kabisa
 
Aisee..........hii ni hatari.........dah.......
 
Pole sana mkuu hata Mimi nilikua nalala nayo ka we we tena nilikua naweka pembeni. Siku hyo ilinikomesha kabisa kwa kweli. Nimekoma kabisa

Asante mpendwa, pole na wewe. Wengine wajifunze kutoka kwetu
 
Ni kweli kabisaaa.Na sio tu midoli pia katuni , picha za ngono na movie za kutisha zina mapepo .

ningewawekea video za watu wakifanyiwa deliverance kwa roho chafuu zilizo waingia kutokana na hayo niliyoyataja hapo juu, ila sijuagi kuweka video hapa.
 
Back
Top Bottom