Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

Mh! mada imenigusa nina midoli sebleni kwangu isiyopungua kumi.Nlishawai kuskia hizi mambo midoli yote nkaiombea.Kuna mmoja Mkubwa Huyo nkilala sebleni mchana naufanya kama mto.
 
Popote ulipo mshana jr, unashtakiwa kwa kosa la kusababisha hawa mabinti washindwe kuvipumzisha vikojoleo vyao kwa usiku wa leo.

Jiwasilishe makaburi ya kinondoni kwa ajili ya toba. (tafazali, sijasema mochware, staki hawa mabinti washindwe kuamka)

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Hahahahaaaaaaa 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃💃💃💃💃💃💃utanikuta kwenye kaburi la nanihiiii nakusubiri Asprin
 
Last edited by a moderator:
Popote ulipo mshana jr, unashtakiwa kwa kosa la kusababisha hawa mabinti washindwe kuvipumzisha vikojoleo vyao kwa usiku wa leo.

Jiwasilishe makaburi ya kinondoni kwa ajili ya toba. (tafazali, sijasema mochware, staki hawa mabinti washindwe kuamka)

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Huwezi kuamini nimepata usingizi mzuri sana Leo..mshana usisahau na baadae
 
Last edited by a moderator:
Mshana Jr

Naunga mkono hoja, kwa sababu hata makabila yanayoongoza kwa uchawi duniani, nchi ya Haiti, uchawi wao unaitwa Voodoo, na imani yao ni Voodooism, wanatumia midoli kulogea!.

Pia nakubaliana na wewe kuwa kuna roho mbalimbali zinazotangatanga, (zinaitwa wondering strangers), wale wote wanaokufa kwa strange deaths bila miili yao kupatikana hivyo kutofanyiwa maziko rasmi, roho zao zinakuwa hazija rest in peace, zinabaki zikitangatanga, lakini sii kweli kuwa roho hizi zinajiingilia tuu kwenye midoli, bali ili ziingie kwenye midoli, ni lazima ziingizwe!.

Hivyo Mkuu Mshana nakuomba usitishe watu kuwa midoli ina roho!, midoli yenye roho ni ile tuu iliyowekewa hizo roho na kwa madhumuni fulani!.

Pasco
 
Si kweli km ina roho ila roho ya kibiinadamu inasense flani hivi na hiyo midoli mm hata ile midoli ya kariakoo inayoekwa kwenye ngazi nikishuka huwa naona km inanifata vile na kuona km inazomea
 
Asante kwa ufafanuzi Pasco nafikiri ilikuwa ni aina tu ya uandishi lakini kimsingi kitu ndio hicho hicho na si midoli yote ina roho
Asante
 
Last edited by a moderator:
Si kweli km ina roho ila roho ya kibiinadamu inasense flani hivi na hiyo midoli mm hata ile midoli ya kariakoo inayoekwa kwenye ngazi nikishuka huwa naona km inanifata vile na kuona km inazomea
Sirdirashy midoli mingi ya kariakoo imefanyiwa colabo, mchana ni vinyago usiku ni vinyamkera
 
Last edited by a moderator:
1434087365660.jpg
 
Sasa hebu niambie........nina kinyago cha tembo wa mpingo.........nae anahusika...........?...........

Ukisoma masonic bible. Tembo ni ishara ya power, pia hutumika katika rituals zinazotak ku sumon miungu fulani yenye nguvu.
Kuna Muungu hata kwa wahindu wanao wanaita Ganesha.
Masonic hutumia pia as power symbolism
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    8.6 KB · Views: 434
  • huh.jpg
    huh.jpg
    10.5 KB · Views: 273
Ukisoma masonic bible. Tembo ni ishara ya power, pia hutumika katika rituals zinazotak ku sumon miungu fulani yenye nguvu.
Kuna Muungu hata kwa wahindu wanao wanaita Ganesha.
Masonic hutumia pia as power symbolism

Hata katika Sutra ya kibudha wanatumia tembo kama alama muhimu ya kutambulisha sect ya Mahayana Buddhism (gari kubwa)dhidi ya Vajrayana Buddhism (gari dogo)
 
Ukijaribu kuchek altare yeyote lazima kuwe na symbol au ishara ya roho husika wanayoiabudu, inayowapa ulinzi n.k. Katika baadhi ya ishara ni kutumia midoli/sanamu, picha au idol yeyote. Hapo ndo huwa ile spiriti imepaweka kama sebule yake so muda wote hupatikana, ndio maana kama mganga au mchawi akizidiwa nguvu au kushndwa kufanya jambo fulani ukimbilia kwenye altare yake aka kiringe. Sasa hii miungu sometimes inawapa oda waumini wake kuweza kuwajengea altare nyingine, so wanacho kifanya ni kufanya ibada na kuingiza hizo roho kwenye picha,vinyago,midoli,kacha za kuvaa, cheni,pete n.k
So unaponunua kitu hiko na kukivaa au kukiweka mahali popote kwako endapo kinakuwa kina roho fulani unakuwa umemkabidhi mamlaka ya sehemu husika na inakuwa kama altare yake mwisho wa siku unakuwa unauabuduu bila wew kujua hilo.

Cha kufanya ni kama unapenda vitu vya aina hiyo ni vema una vunja na kutoa roho zilizopo, kama umekaa vibaya jua hizi roho zitarudi kwa revenge so jipange. Njia sahihi ya kubaki salama ni kupoetezea hivyo vidude
 
Back
Top Bottom