Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...

Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!

Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.

Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.

Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....

Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
 
Ukisoma masonic bible. Tembo ni ishara ya power, pia hutumika katika rituals zinazotak ku sumon miungu fulani yenye nguvu.
Kuna Muungu hata kwa wahindu wanao wanaita Ganesha.
Masonic hutumia pia as power symbolism

Kwa hiyo mkuu.........huyu tembo wangu ni ishu sio..............
 
Last edited by a moderator:
merengo90 hujamuelewa Preta. Tatizo si kuchoma mdoli wake wa tembo. Ishu ni kuwa yeye ni Mchaga, anafikiria Mara mbili "Yani kabisa ninunue huyu mdoli kwa Pesa halafu nimchome?"

Hahaha, mkuu. Umeona mbali nahisi ndio mshana jr akamwambia asiweke chumbani pa kulala maan anajua angezungumzia kuchoma another ishu
 
Last edited by a moderator:
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...

Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!

Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.

Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.

Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....

Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..

Duh shukran mkuu
 
Nilikuwa siamini but kumbe ni hatari aisee ..midoli ni nafsi kaabisa..pia nimesimuliwa kuhusu midoli kama BEBE;ROBERT;ANDOLLE;NA MINGINE MINGI inayofanya maajabu tangu miaka hiyo..mfano huyo bebe ana miaka 150 tangu atengenezwe . Mshana jr wee sikuwezi
 
mshana jr kwa kipind hiki mm naamini ukiwa na ahadi ya kuonana na mtu wa hapa jf na aliyesoma maada zako atakuogopa tu. Maana hizi story ukiwa na roho nyepesi lazma ukose usingnz
 
Last edited by a moderator:
mshana jr kwa kipind hiki mm naamini ukiwa na ahadi ya kuonana na mtu wa hapa jf na aliyesoma maada zako atakuogopa tu. Maana hizi story ukiwa na roho nyepesi lazma ukose usingnz

Hahahahaaaaaaa kaka salama lakini?
 
Last edited by a moderator:
Aaaaah mpwa wewe tena?kila jukwaa nimeingia holaa tatizo nini mpwa?
 
Kuna watu hawana uwezo wa kuishi maisha yao wenyewe kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu hivyo hutafuta support ya madubwana kama hilo!kwa haraka utadhani ni pambo lakini nyuma yake kuna siri kubwa

I see.

Now hata cakes za designs za wanyama na cartoons sifanyishi tena.
 
Ha ha haaaaa, bora hata iwe hio chocolate. Angalau ntakula ntafaidi

I see.

Now hata cakes za designs za wanyama na cartoons sifanyishi tena.

Ndio my usitengeneze tena ulishawahi kuona cake za maadhimisho yoyote ya satanism? Ni mfano wa mtu aliyechinjwa huku bado damu zinamchuruzika halafu nao wanakata kiungo kimoja kimoja na kula
 
Aisee nina vinyago viwili vya kimakonde nililetewa na mdogo angu alipoenda site ntwara..mda huu nasoma hii kitu naviangalia kwa umakini sana.mwenyewe akiclaim kanunua kwa gharama kweli.ila ss napoteza mzuka wa kuendelea kuviweka ndani,kumrudishia siwez na wala kuvitupa si hekima.i guess something went wrong..mmhh ulimwengu wa roho ni mpana sana yani.

Vipeleke mwenge ukaviuze.!
 
Ndio my usitengeneze tena ulishawahi kuona cake za maadhimisho yoyote ya satanism? Ni mfano wa mtu aliyechinjwa huku bado damu zinamchuruzika halafu nao wanakata kiungo kimoja kimoja na kula

1434172831868.jpg1434172845018.jpg1434172858540.jpg1434172876991.jpg
 
Back
Top Bottom