Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna huu mdori umecheza film unaitwa CHUCKY, unaukumbuka?
![]()
Sasa kuna mwingine amefahamika anaitwa Black Chucky.... Anabamiza watoto si kawaida.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Chucky anaishi hapa kwangu na ukimuona hutoweza kumjua maana kajichubua mno!
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]NDIO MAANA.
Aliyewaumba amewatahadharisha, MSICHONGE SANAMAMU INAYOFANANA NA KITU CHOCHOTE HALAFU MKAITUMIKIA NA KUISUJUDIA.
Unakuta ndani na nje ya Kanisa kuna Sanamu nyingi kila kona hadi nje.
Wajamani wajameni mnamjua aliyezichonga hizo sanamu zote kama ni mtu wa aina gani ?
Mimi ni hapo tu ninapotofautiana na kanisa langu la Roman Catholiki na lazima niwe mkweli.
Sanamu zimenikwaza na siwezi kusujudu ili hali mbele kuna Rundo la Masanamu.
Nadhani watabadilika hapo baadae.
Karibu Sanamu zote zina roho chafu.
Kwa wale wataalamu wa VILINGE kama mleta mada, Shetani anawaelekeza sanamu za kuweka madhabahuni, anawaelekeza hadi Sura za sanamu hizo, na alama za kuweka.
Ukimwuliza mtumishi huyo wa mambo ya giza anakuelekeza kila sanamu kwa jina lake.
Utasikia huyu ni Belzebuli, huyu ni Lusifer, huyu ni mzimu wa makaburini, huyu ni malkia wa marine (marine spirit) nk.
Anawaita kama watu hai na chakula anawapa cha kufukiza kwenye chetezo, na damu.
Ni mambo makubwa wandugu wapendwa, nina mengi ya kuwaeleza.
Achaneni kabisa na Sanamu, au Midoli au chochote kinachofanana na hivyo.
MUACHE PIA KUCHORA TATOO, MWILINI
NI ALAMA (Chapa) ZA SHETANI. Mungu pia amezikataza.
ASANTE SANA mshana jr, Leo umefanya kazi kubwa ya Uinjirishaji.
Nimeeleza hivyo kwa sababu ya mapenzi yangu ya dhati kwenu na jamaa zenu muwaeleze pia.
Mwenye masikio na amesikia.
Huenda kuna ukweli,maana mimi mathalani huwa naviogopa sana, naviogopa tu hata sijui kwa nini!!! Niikiingia kwenye nyumba au ofisi ambayo sofa zina midoli hata sikai kabisa, unless niwaombe waliondoe. Anyway, labda nina matatizo.Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...
Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.
Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.
Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....
Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Kuna kitu roho yako kupitia jicho la tatu inaona na nafsi inashindwa kuhimiliHuenda kuna ukweli,maana mimi mathalani huwa naviogopa sana, naviogopa tu hata sijui kwa nini!!! Niikiingia kwenye nyumba au ofisi ambayo sofa zina midoli hata sikai kabisa, unless niwaombe waliondoe. Anyway, labda nina matatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimejua kwa nini naviogopa. Asante sana Mshana Jr.Kuna kitu roho yako kupitia jicho la tatu inaona na nafsi inashindwa kuhimili
Ogopa sana vinyago kwenye ofisi za matajiri ama vinyago vyenye vyombo vya usafiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawaamini katika mambo ya kiroho ofisini lakini mitaani ni wauminiHivi TBS au BASATA wako wapi mpaka hizi vitu inauzwa bila ukaguzi wao? Hata Zimamoto, TRA, Intelijensia, Polisi jamii, na SSIT, TFDA, Mkemia mkuu na wengine nani sijui! Kweli ndio maana kina omera wanatuona sis kama misukule. "Hakuna mkate mgumu bele ya kiroba"!!!!
Nimeiona hii mada iko hewani sasamshana jr
mkuu, umesema vema kabisa. si midoli tu hata binadamu huweza tumika kama hekali ya muungu fulani. Nikisema IDOLS unaweza kunipata zaidi. Juzi niliandaa uzi nilioupa title ya DILDOS NA MIUNGU ikiawa inaleta na kuwa na maudhui kama haya, lakini nashangaa nilipewa ujumbe nisubiri aprove ya mods but hadi leo siuni. Invisible inakuaje hapo