Vinyama au vidoti sehemu za siri

Vinyama au vidoti sehemu za siri

CMBC Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
222
Reaction score
69
Kwenu madaktari, aisee me kuna hivi vidude vinaitwa dats cjui au vidoti vinaniota sehemu za korodani na hapa juu ya mgombea, panapoota mav*z* vinaota hivi vidude.

First time nilienda kumuona daktari akanipa dawa ya kuviunguza, vikaungua juu tu kumbe mizizi ikabaki sasa vimeanza tena, tiba yake ni nini hivi au vinasababishwa na nini!

Viko kama kile cha Jokate
 
Ushahidi tosha hvo


Mtu anaezatembea na wewe afu ktk kuthibitisha upande mwngne anatoa sifa yako hyo


Huwa wanafunga na uzi usiku ulalapo mpk kinakatika
 
Hivyo vinasanbabishwa na virus na vinaweza sababisha kansa
 
Tafuta apple cider vinegar weka kwenye pamba bandika na plasta eneo la tukio kipindi cha kulala
 
Paka asali kabla ya kulala. Kuna mdogo wangu alitumia na akapona kabisa, kwake viliota hadi kwenye hazina ya kiume
 
Ninapenda kuwafahamisha kuwa wenye tatizo hili linaloongelewa hapa sasa kuna tiba mbadala, Aunt Zainab Natural Super Clay imesaidia sana wanaoota vinyama sehemu hizo za siri na hata mwilini.

Aunt Zainab's Natural super Clay ni dawa 100% asilia na haina madhara wala side effects mwilini, kwa watu wazima watoto wadogo na hata wajawazito.

ILicha ya tatizo hilo la bawasiri, inasaidi sana kwa magonjwa yote ya ngozi.

Pitia hapa: Wenye Matatizo ya Chunusi na Zaidi: Aunt Zainab's Natural Super Clay

Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
 
Back
Top Bottom