Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Habari zenu wakuu.
Najaribu kutengeneza orodha ya vyakula na vinywaji ambavyo kwa namna moja ama nyingine huchangia kuporomoka ama kushuka kwa kinga yetu ya mwili dhidi ya magonjwa kiasi cha kupelekea upungufu wa kinga mwilini.
Mimi navifahamu hivi vifuatavyo mpaka sasa, tafadhari tupia na wewe vingine hapo chini ili mwishowe tupate orodha iliyo kamili.
Vinywaji na vyakula vinavyochangia kuporomoka kinga ya mwili ni pamoja na:
Tafadhari wanajamvi naombeni nitupieni na vingine ambavyo nanyi mnavifahamu ambavyo mimi sijaviweka hapa.
Shukrani.

- Alkoholi/Pombe za aina zote
- Madawa ya kulevya aina zote
- Soda aina zote
- Juisi za viwandani aina zote
- Sigara/bangi/tumbaku za aina zote
- Chai ya rangi na kahawa
- Ugali mweupe/sembe