Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Kwa hali kama hiyo (ile) huwezi dindisha labda uwe kichaa tu au Msukuma uliyetoka kijijini sasa hivi na kuona tukio la kuporwa ni ushujaa.Duh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
Unasema tu, kila kitu kinanywea wewe unakuwa kama yeye, bahati mbaya mende akikugusa mguu chini ya siti utainuka kama panya.Duh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
Fasta inakimbilia tumboni kuekea kifuani ni atai kweikweiZile nyuzi pale chini zikiachia ulikuwa unaikuta wapi mkuu [emoji2]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Mkuu poleni Sana
Waliondoka na kila kitu,nani anajua labda hapo mbele tu wana kambi yao.wanakupiga tanchi wanatambaa.Hivo vyote walivyopora wao walikuwa na gari la mizigo?maana mpaka mvuliwe boxer ina maana washachukua na mabegi
π€£π€£π€£siku moja niko na demuwa kishua sasa aone nna vip mpya kubandeki tanua miguu sama e bana mchupi ukakatika kubandeki na unakimbilia tumboni.nikachokaFasta inakimbilia tumboni kuekea kifuani ni atai kweikwei
aidha shangwe au fedheha. Maana kama hujajaaliwa maumbile ukijumlisha na uoga wa bunduki, mashine imenywea kama ukucha. Hapo swaga zote zinaisha.Duh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
UkorofiiiiiDuh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
hiyo ya mtaji wa maskini ilikuwa juzi tuu kipindi cha awamu ya tatuEnzi hizo hao wavamizi wa Mabasi ilikua wanawaibia abiria huku wanaimba "Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe'
Au ukafunika maeneo yako kwa mikono baada ya kiba 100 kuwekwa hadharani.lolDuh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
80's VIP hazikuwepo zimekuja 90'sKwenye Boxer futa andika VIP
Mkuu, henzi hizo tulikuwa tunavaa kitu aina ya VIP!
Unaikuta Kifuani sasa itikee mnacheza mpira na umevua shatiππππZile nyuzi pale chini zikiachia ulikuwa unaikuta wapi mkuu π?
Acha dharau kwa hiyo tulikuwa tunatembea na buku 1 na 200 zetu bila kubanwa? Dharau hizo ujue!!80's VIP hazikuwepo zimekuja 90's
sijakuelewa mkuu dharau zimetokea wapi?Acha dharau kwa hiyo tulikuwa tunatembea na buku 1 na 200 zetu bila kubanwa? Dharau hizo ujue!!
Timu pinzani wanaweza dhani we ndo msukule wa ushindi!!Unaikuta Kifuani sasa itikee mnacheza mpira na umevua shatiππππ
Unajua katika maisha watu tunapitia mambo mengi sana.
Na bila kuyaongea yataendelea.
Kwenye Mada
Siku bana nikalamba bus Dom to Sgd enzi hizo 80s pale vumbi tu njia nzima.
Tumekula njia mdogo mdogo na lile ngala ngala sijui Azan express sijui shalua luxure sikumbuki e banaee Manyoni hiyo tukala mpunga wetu ma soda safii.
Tukaanza safari kuitafuta Singida.
Pale kuna kapori fulani na milima alafu njia panda ya Itigi kwenda Singida mnapinda kulia.
Ile tumepinda jioni jioni hivi bus inaenda mdogo mdogo tunaelekea Singida e banaee hapo kati porini haswa.
Tukakuta jamaa wameweka magogo barabarani.
Hamna gari kupita.
Na magari yenyewe yapo?
Ile bado dereva anaangalia namna ya kutoroka majambazi hayo yakatoka maporini huko zikawashwa risasi 2 na gobole hewani tukaambiwa wote tulale chini.
Wale jamaa walituibia kila kitu,maana ya kila kitu ni kwamba hadi boxer unavuliwa.
Sasa hapo tukawa uchi bus zima,wamama wako uchi wanaume uchi. ebana sijui tulifikaje mjiniπ€£π€£π€£
ila abiria 65 tumeporwa mpk tunaachwa uchi.
Nakumbuka hadi leo ila haiingii akilini
Kama una mkasa wa mabus weka hapa
Hiyo ilimtokea jamaa yangu ππ!Unaikuta Kifuani sasa itikee mnacheza mpira na umevua shatiππππ
Au wewe mkuu[emoji41][emoji41][emoji851][emoji851]Hiyo ilimtokea jamaa yangu [emoji2][emoji2]!
Hapana mkuu, mpira ulinikataa mara baada ya kuvunjika mkono nikaachana nao jumla!.Au wewe mkuu[emoji41][emoji41][emoji851][emoji851]