Vioja na Mabasi

Vioja na Mabasi

Duh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
Kwa hali kama hiyo (ile) huwezi dindisha labda uwe kichaa tu au Msukuma uliyetoka kijijini sasa hivi na kuona tukio la kuporwa ni ushujaa.
 
Duh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
Unasema tu, kila kitu kinanywea wewe unakuwa kama yeye, bahati mbaya mende akikugusa mguu chini ya siti utainuka kama panya.
 
Hivo vyote walivyopora wao walikuwa na gari la mizigo?maana mpaka mvuliwe boxer ina maana washachukua na mabegi
Waliondoka na kila kitu,nani anajua labda hapo mbele tu wana kambi yao.wanakupiga tanchi wanatambaa.
Gari Bus tuliondoka nalo uchi na dereva wao wala hawalihitaji.
Sema huko porini kati ndo ikawa watu wanaguna tu na kuhema
 
Fasta inakimbilia tumboni kuekea kifuani ni atai kweikwei
🤣🤣🤣siku moja niko na demuwa kishua sasa aone nna vip mpya kubandeki tanua miguu sama e bana mchupi ukakatika kubandeki na unakimbilia tumboni.nikachoka
 
Duh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
aidha shangwe au fedheha. Maana kama hujajaaliwa maumbile ukijumlisha na uoga wa bunduki, mashine imenywea kama ukucha. Hapo swaga zote zinaisha.
Au mwenye umepiga pamba kali nje kufika kwenye chupi sasa ina matobo yote mpaka kaka jambazi anakataa kuiiba. Lazima uwe mdogo tu.
 
Duh sipati picha uko siti moja na mrembo afu mko uchi wote. Unaweza jikuta maumivu yanageuka shangwe.
Au ukafunika maeneo yako kwa mikono baada ya kiba 100 kuwekwa hadharani.lol
 
Acha dharau kwa hiyo tulikuwa tunatembea na buku 1 na 200 zetu bila kubanwa? Dharau hizo ujue!!
sijakuelewa mkuu dharau zimetokea wapi?

mi nimesema chupi aina ya V.I.P hazikuwepo miaka ya 80 zimetoka miaka ya 90




au we umenielewaje?

imgres.jpg
 
Mlipata tabu sana wakuu, naskia kuna majambazi wengine walikua wanaamuru mpigane mashine hata kama mko wanaume tupu mtainamishana ya kweli hao??
 
Unajua katika maisha watu tunapitia mambo mengi sana.
Na bila kuyaongea yataendelea.
Kwenye Mada

Siku bana nikalamba bus Dom to Sgd enzi hizo 80s pale vumbi tu njia nzima.

Tumekula njia mdogo mdogo na lile ngala ngala sijui Azan express sijui shalua luxure sikumbuki e banaee Manyoni hiyo tukala mpunga wetu ma soda safii.
Tukaanza safari kuitafuta Singida.

Pale kuna kapori fulani na milima alafu njia panda ya Itigi kwenda Singida mnapinda kulia.

Ile tumepinda jioni jioni hivi bus inaenda mdogo mdogo tunaelekea Singida e banaee hapo kati porini haswa.
Tukakuta jamaa wameweka magogo barabarani.

Hamna gari kupita.
Na magari yenyewe yapo?
Ile bado dereva anaangalia namna ya kutoroka majambazi hayo yakatoka maporini huko zikawashwa risasi 2 na gobole hewani tukaambiwa wote tulale chini.

Wale jamaa walituibia kila kitu,maana ya kila kitu ni kwamba hadi boxer unavuliwa.

Sasa hapo tukawa uchi bus zima,wamama wako uchi wanaume uchi. ebana sijui tulifikaje mjini🤣🤣🤣
ila abiria 65 tumeporwa mpk tunaachwa uchi.
Nakumbuka hadi leo ila haiingii akilini

Kama una mkasa wa mabus weka hapa​
Kuna Mzee Mmoja R. I. P alikua ni kiongozi katika ngazi ya Tarafa/Kata (Mombo) huko Tanga, wilaya ya Korogwe. Siku moja alikua anasafiri miaka 2000's toka Mombo kwenda Kwalukonge kufika katikati kuna pori wakakuta wamepanga magogo yao barabarani. Kama kawaida yao kulazimisha abiria wavue nguo, yule Mzee alikua ameambatana na binti yake akagoma kuvua nguo, wale jamaa wakamzimisha pale pale na risasi ya kichwa.​
 
Back
Top Bottom