Vioja na Mabasi

Vioja na Mabasi

Safari ingine,Iringa -Dom.
Kata ticket King cross boda mtera.
Subiri pale stendi siku 2 gari haiji.konda mkatisha ticket hatumuoni.tumekaa wee siku ya pili hapo abiria tushakua ndugu na tuko wengi maana pale njia hiyo ni king cross tu anaiweza.
Ikabidi ebana tukamsake huyu mkatisha tkt tuelewe bus linakuja lini na sa ngapi?
Baadhi ya mabroo pale wanajua kona zote.
Tukaanza safari kona huku mara kule twende paaptukamkuta jamaa kilabuni analewa tu.
Tukampa makofi kadhaa tukaondoka nae hadi stendi aturudishie hela.
Hela yenyewe ni 1500 tu miaka hiyo🤣🤣🤣.
Naja tena
 
Hizi chupi za vip zingekuwepo hadi kipindi hiki na hizi ngoma za amapiano club nyingi zingekuwa asbuhi zinafuko limejaa chupi zimedondoka unajikuta umefika home unavua huna chupi
 
Hapana, kuna kwaya walikuwa wanaimba "toa ndugu, toa ndugu ulichonacho wewe. Mungu anakuona mpaka rohoni mwako"
Pale hakukua na "toa ndugu "ilikua vua kila kitu ukibisha bapa moja tu unavua vyote
 
Back
Top Bottom