Vioja vya Watanzania kwenye page ya Davido

Safari hii naona hajatukanwa kwa kufanya Collabo na Ali Kiba.
 
Hahahaaaa huyo anaugomvi na bwanamdogo nuhu.
 
Safari hii naona hajatukanwa kwa kufanya Collabo na Ali Kiba.

ugomvi wake na watanzania umeisha,na ameona ili abalance mambo kwa mashabiki wa Tanzania ni kufanya kolabo na Ali na kupatana na Diamond.hata ukisikiliza alicho ongea wakati anahojiwa na Ayo utajua kabisa david ana jua akili za wabongo.

that kid is clever aisee!!
 

Baadhi ya wabongo wachache wasio jielewa !
 
Hawa watoto wa shule wakatazwe kumiliki cm.
 

yaan atakuwa anatuenjoi huko, ukifatilia comment za wabongo utacheka, 'do collabo with Alikiba' za kumwaga. Yaani wabongo kwa shobo, ila ye kashatujua akili zetu that's why anatake advantage kwa hilo, kama kipindi kile alivyoupload bendera ya Tanzania ndipo kiwango cha shobo tulipokidhihirisha
 
Unaweza kunikumbusha Fiesta lini hivi?
 
inaanzaga mwezi wa 8 kama sikosei
In short, huu ndo msimu wake kwahiyo Davido anatengeneza mazingira; si tu ya kupata show (probably tayari) lakini pia mazingira ya kupata shangwe kutoka pande zote mbili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…