Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaaaJamaa anatania tu sidhani kama yupo serious !
Safari hii naona hajatukanwa kwa kufanya Collabo na Ali Kiba.
ugomvi wake na watanzania umeisha,na ameona ili abalance mambo kwa mashabiki wa Tanzania ni kufanya kolabo na Ali na kupatana na Diamond.hata ukisikiliza alicho ongea wakati anahojiwa na Ayo utajua kabisa david ana jua akili za wabongo.
that kid is clever aisee!!
Baadhi ya wabongo wachache wasio jielewa !
ugomvi wake na watanzania umeisha,na ameona ili abalance mambo kwa mashabiki wa Tanzania ni kufanya kolabo na Ali na kupatana na Diamond.hata ukisikiliza alicho ongea wakati anahojiwa na Ayo utajua kabisa david ana jua akili za wabongo.
that kid is clever aisee!!
Unaweza kunikumbusha Fiesta lini hivi?yaan atakuwa anatuenjoi huko, ukifatilia comment za wabongo utacheka, 'do collabo with Alikiba' za kumwaga. Yaani wabongo kwa shobo, ila ye kashatujua akili zetu that's why anatake advantage kwa hilo, kama kipindi kile alivyoupload bendera ya Tanzania ndipo kiwango cha shobo tulipokidhihirisha
Unaweza kunikumbusha Fiesta lini hivi?
In short, huu ndo msimu wake kwahiyo Davido anatengeneza mazingira; si tu ya kupata show (probably tayari) lakini pia mazingira ya kupata shangwe kutoka pande zote mbili...inaanzaga mwezi wa 8 kama sikosei
In short, huu ndo msimu wake kwahiyo Davido anatengeneza mazingira; si tu ya kupata show (probably tayari) lakini pia mazingira ya kupata shangwe kutoka pande zote mbili...