Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

Sijabahatika Bdo ila kuna mtoto wa Rafiki yngu Ambaye Jamaa alikua bDo kiDogo aikatae mimba yke kwa kutokua na imani na Hyo Dem
Ila Dogo alipozaliwa kafanana na Mwana Sana, na kawa Faraja kubwa sana kwake
Ni mwerevu sana,mzuri km jina lake, Ana furaha muDa mwingi na vituko vyke Huwa hamuiti Baba ila Uncle, anauliza sana maswali, na ni mwepesi sana wa Kusema pole na asante km umeumia au umempatia kitu
ana 3yrs
 
mtoto wetu tulimpeleka shule fulani English Medium, baada ya miezi kama sita, mimi na mama yake tumelazimika kuanza evening English Course! Si kwa ile lugha gongana!
 
Mada kama hii huwa zinaletwa na wanawake halafu wanaume ndio wanachangia.

Sasa kidume mzima unajipinda unaanzisha uzi kama huu....!!!!

Unatukosea sana wanaume wenzako.
Malumbano ya aina yako hua yanaletea na wanawake, kitendo cha kutaka ligi isiyo na tija unatukosea wanaume wenzako, nakushauri nenda jukwaa la wavulana.
 
mie wa kwangu 7,4 yrs huyu mdogo juzi akalilia aombee msosi yeye,akasema tusimame,akaomba MUNGU tusaidie tule vizuri tumalize chakula ,tuoge twende mjini kuogelea(wanapenda sn kuogelea),mwishoni akamalizia pia tukipigana tupigane vzr,hahahahaha,,
 
Binti yangu anapenda sana tangazo la airtel lile la Mr Money.
Hata awe ananyeshwa uji, ananyonya likija hilo tangazo ana choropoka na kuanza kucheza.
Anapenda sana nyimbo za Bob nikiwa namsikiliza Bob nae huja na kujilaza pembeni yangu huku akitingisha kichwa.
Pia anapenda sana kujifanya mjuaji na ni mkali kweli maneno yake ya kwanza kutamka ni Acha na Sitaki.
Akiona unafanya jambo basi ukiliacha baadae unakuta kageuza kama mchezo analifanya jambo hilo.
Mwisho anaijua sana hela ukimpa mia, mia mbili hataki anapenda noti. Hata kama akilia ukimpa ananyamaza.
I guess labda kwakua mama yake ni mchaga.
She is a year and two months old.
 
Hongera sana kaka kupata mtoto anayekujalai kiasi hicho.... maisha ya utotoni yana raha sanaaa na yana furahisha sana. Endelea kuwabkaribu na mwanao akuwe katika mazingira hayo hayo.

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 


Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaweza kupitia hiyo link ukapata majibu, ukikwama niulize.

Ankyloglossia - Wikipedia

hii kitu imemtesa sana mwanangu aic ameongea fresh baada ya kumkata hako TIE TONGUE,madk walikua wananiambia usimkate atakua bubu mxiew,mwanaangu hakua akiongea kitu,at 9myhs nikampeleka day care ajimix na watt wenzie wapii,alipofika miaka minne nikafumba macho nikampeleka moro hospt fasta wakakata nw anaongea ingawa sio km umri wake unavyotakiwa aongee,
kitu
 
  1. Wa kwangu ana miaka 2.5 Siku kaniita BABA, Mambo? Kwanza nilistuka ikabid nianze kuchunguza kumbe ni dada anayemlea anamuitaga hivyo! Wadada wa kazi no msaada Sana ktk malezi.
 
Uyo kama wangu

Sent from my TECNO F6 using JamiiForums mobile app
 

Hg
 
G,


Hg
 
Haaaahaaaaaa umenifulahisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…