Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakwangu anamiaka 4 juzi kaniuliza baba nani kamzaa shetani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwanangu (5): Baba mbona unapunguza mwendo??
Mimi: Kuna askari mbele
Mwanangu: Sasa usipopunguza mwendo atakufanyaje?
Mimi: Atanikamata
Mwanangu: Akikukamata atakufanyaje?
Mimi: Atanifunga kamba anipeleke gerezani kunifunga.
Mwanangu: Police kazi yake kufunga kamba watu?
Mimi: Ndiyo, ila wale wakorofi tu.
Mwanangu: Hata watoto wadogo anawakamata na kuwafunga?
Mimi: Ndiyo, lakini wale watoto wakorofi wasiopenda kufanya H/W
Mwanangu: Mimi si mkorofi na nafanya HW, si ndiyo baba
Mimi: eeeee mwanangu.
(Tunawakaribia Police wa usalama barabarani tunawapita)
Mwanangu: Police nimewaona watatu pia kuna Mwanamke, baba hata Police Mwanamke yupo
Mimi: Ndiyo
Mwanangu: Na yeye anaweza kukamata watu na kuwafunga?
Mimi: Ndiyo:
(Ukimya dakika 2)
Mwanangu: Baba weka speed One hundred tumeshawapita ma police. (huku akiangalia mshale wa speed-meter)
-------------
Acha kiherehere narudia kukwambia.
Unasema mada ya kike it means watu wote wanaochangia hii mada ni wanawake huoni unatutukana? Alafu unataka ujibiwe vizuri ili iweje?
Acha kiherehere kama mada haikufai nenda jukwaa lingine mbona simple tu
Tuliotelekeza mimba haituhusu hii
haha umeacha nimecheka.. ina mana hujui?nabana nini??
sijuihaha umeacha nimecheka.. ina mana hujui?
du pole kama mimi tu watoto wachanga wanasumbua kweliMi wa kwangu balaa natamani akue kidogo labda nitapata zuri la kueleza, leo ni wiki ya tatu sijalala nakesha, dogo analala mchana wakati mimi nipo job, usiku halali na akilala mikononi ukimuweka kitandani tuu yani kabla hata hujakiacha kitanda kishaamka na kelele nyingi, kingine asee usikae karibu na mamaake ugomvi wake c mdogo atalia hapo hadi utashangaa, kingine tangu wiki iliyopita hajacheka sijui ndo kutabasamu hakuna. Ana miezi 4. Hataki kulazwa kama watoto wengine anapokuwa macho, yeye anataka kukaa na anakaa...huyo ni mdogo, kakayake yeye anapenda ngumi, anajua bunduki zote kwa majina, hili nimejaribu kumuonya mamayake asiwe akimuwekea movie za mapigano zaidi ya cartoon lakini sijui huyu kijana anajifunzia wapi maana hakawii kukwambia anataka awe mwanajeshi sababu hapendi majambazi, huyo Ana miaka mi 4, anajua kikorea, kajifunza wapi mi sijui...ila ana shida moja anapenda tambi tuu, vyakula vingine kula mpaka mpigizane kelele sana na husingizia anataka kukojoa akienda harudi..ana huruma sana na mamayake, mjanja mjanja sana ukikasiririka atajua jinsi ya kukufanya ucheke tuu, shida usimuache na mdogo wake peke yao, unaweza kuta mtoto analishwa ugali.
[emoji23] [emoji1]Mmenikumbusha kuna siku mwanangu(5yrs) alinichekesha sana.Nlikua jikoni napika half cake akaingia akaniuliza "mama ivi jana nlikusalimia"nkamjibu hapana( makusudi nijue lengo lake),akaniambia "nkusalimie sasa hivi?" na mimi ee.Alivomaliza tu kunisalimia "mama naomba half cake "
Hahah aisee. Safi sanaAlizoea kutuona nyumbani tunatumia tochi kutafuta
kitu kama kimepotea na ni sehemu ya giza,
yeye kwa akili ya utoto akajua tochi ni dawa
ya kupata kitu kilichopotea.
Basi siku moja mchana akiwa nje anacheza
akapotelewa na mojawapo ya zana zake za
michezo,akarudi ndani na kuchukua tochi
alipoulizwa "wewe unapeleka wapi tochi"
akajibu "nimepotelewa na vitu vyangu nje naenda kuvitafuta"
Kweli utoto ni raha sana.
Dah...nimecheka sana sentesi ya mwishoMi wa kwangu balaa natamani akue kidogo labda nitapata zuri la kueleza, leo ni wiki ya tatu sijalala nakesha, dogo analala mchana wakati mimi nipo job, usiku halali na akilala mikononi ukimuweka kitandani tuu yani kabla hata hujakiacha kitanda kishaamka na kelele nyingi, kingine asee usikae karibu na mamaake ugomvi wake c mdogo atalia hapo hadi utashangaa, kingine tangu wiki iliyopita hajacheka sijui ndo kutabasamu hakuna. Ana miezi 4. Hataki kulazwa kama watoto wengine anapokuwa macho, yeye anataka kukaa na anakaa...huyo ni mdogo, kakayake yeye anapenda ngumi, anajua bunduki zote kwa majina, hili nimejaribu kumuonya mamayake asiwe akimuwekea movie za mapigano zaidi ya cartoon lakini sijui huyu kijana anajifunzia wapi maana hakawii kukwambia anataka awe mwanajeshi sababu hapendi majambazi, huyo Ana miaka mi 4, anajua kikorea, kajifunza wapi mi sijui...ila ana shida moja anapenda tambi tuu, vyakula vingine kula mpaka mpigizane kelele sana na husingizia anataka kukojoa akienda harudi..ana huruma sana na mamayake, mjanja mjanja sana ukikasiririka atajua jinsi ya kukufanya ucheke tuu, shida usimuache na mdogo wake peke yao, unaweza kuta mtoto analishwa ugali.
Yeye hataki kuula, anamlisha mdogo wake[emoji1]Mi wa kwangu balaa natamani akue kidogo labda nitapata zuri la kueleza, leo ni wiki ya tatu sijalala nakesha, dogo analala mchana wakati mimi nipo job, usiku halali na akilala mikononi ukimuweka kitandani tuu yani kabla hata hujakiacha kitanda kishaamka na kelele nyingi, kingine asee usikae karibu na mamaake ugomvi wake c mdogo atalia hapo hadi utashangaa, kingine tangu wiki iliyopita hajacheka sijui ndo kutabasamu hakuna. Ana miezi 4. Hataki kulazwa kama watoto wengine anapokuwa macho, yeye anataka kukaa na anakaa...huyo ni mdogo, kakayake yeye anapenda ngumi, anajua bunduki zote kwa majina, hili nimejaribu kumuonya mamayake asiwe akimuwekea movie za mapigano zaidi ya cartoon lakini sijui huyu kijana anajifunzia wapi maana hakawii kukwambia anataka awe mwanajeshi sababu hapendi majambazi, huyo Ana miaka mi 4, anajua kikorea, kajifunza wapi mi sijui...ila ana shida moja anapenda tambi tuu, vyakula vingine kula mpaka mpigizane kelele sana na husingizia anataka kukojoa akienda harudi..ana huruma sana na mamayake, mjanja mjanja sana ukikasiririka atajua jinsi ya kukufanya ucheke tuu, shida usimuache na mdogo wake peke yao, unaweza kuta mtoto analishwa ugali.
Mtengenezeeni ubao wake.mie wangu ndiyo ameanza shule, basi nina kibarua cha kuimba nyimbo za shuleni kila akirudi. kupewa story za madam wake sijui anko.
na mbaya zaidi kupigiwa ngoma ili niimbe nyimbo ya Taifa. hapa uwa nachoka sana aiseee.
kingine kila mahali panachorwa sasa hivi, ukuta imebidi tuulinde kuliko kitu kingine.
Mmekutana[emoji1]Mitano mkuu huwa yuko mbali namm siku tukionana huwa haach gape anahakikisha ananiganda kila sehem napo enda juzi usiku wa UEFA nika mwambia naenda kuangalia mpira akanambia dady unampenda Ronaldo namm naenda kumwona nika mkatalia niusiku akachukua funguo anajidai ananifungilia mlango kutoka nje kavaa ndala moja yake moja ya maza ake namm kumkomoa nikaenda nae hvy[emoji23] [emoji23]
Mtoto ni mtoto, umdhaniaye kuwa hatakuwa wa msaada kwa kuwa ni msichana, ndiye pengine atakayekuokoa. Cha muhimu ni kuwawezesha wote bila ubaguzi/upendeleo.Nilipomaliza chuo nilifanya kazi kampuni moja ya binafsi, ilikuwa ya ukandarasi huyo bosi alikuwa na watoto 6, kati ya hao mmoja tu ndio alikuwa wa kiume na wa mwisho mwisho kuzaliwa, akawa anasema natamani ingekuwa na uwezo wa kumvuta mtoto akue haraka ili huyu jembe anisaidie majukumu wakati huo alikuwa class seven, sasa hivi yule kijana kamaliza chuo ana degree baada ya kumaliza form four pale ST.. Costantene Arusha akampeleka chuo Nairobi, ila jamaa amekuwa MZIGO, ZOBA yaani hana afanyalo pale zaidi ya kuendesha magari ya baba, siku moja nikaenda kusalimia maana nilishaondoka kitambo hapo, nikamuuliza vipi sasa amekua kuna msaada unaopta kama ulivotamani kumkuza fasta, aliniangalia kwa huruma sana yaani kama anajuta mtoto kukua, alijua acha tu nibebe msalaba wangu nikifa vikiisha basi sitakuwa na la kulaumiwa, nilimuhurumia.. Alipokuwa mdogo alikuwa anapenda sana kuja ofisini na hukaa na mzee wake kwa umakini kama kuna jambo ana hakikisha haliharibiki.