Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao



Jembe langu lina miaka3,akimuona mtu flani akiongea kwenye tv,anakimbilia remote na kubadili chanel.Simply ana aleji naye.

Mimi wa kwangu jana nimemwambia kuwa wewe ni rafiki yangu akanijibu hapana wewe siyo rafiki yangu wewe ni baba yangu.
Nikabaki natabasamu tu and she is 2.3 years
 
Ha ha ha wow!!

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 

Hii kitu mara ya kwanza niliijua kupitia kwa rafiki yangu, mwanae alifikisha umri wa miaka 2 bila kuongea vizuri, walienda kijijini kuwasalimia wazee, bibi akamsikia mtoto analia akasema ana hilo tatizo wakamkata likaisha.

Nimekuja kukutana nayo personally kwa mwanangu pia, miaka 2 bila kuongea vizuri, mpaka alipokatwa, miezi 6 tu baada ya kumkata anaongea maneno karibia yote.
 
Siku nikimwambia mwanangu nakupenda sana, akaniambia baba wewe unapenda bata, mbele ya wageni niliona aibu sana, kumbe huwa anamsikia mama yake akisema mm napenda bata
 
Kuna katoto kana miaka 9 now haongei kwa ajili jiyo nadhani na uoga wa wazazi kutomkata umechangia, na ile imani kwamba akifika miezi 6 kama hajakatwa haongei tena kumbe ni uongo tu wa mitaani.

Na wengine uzembe unachangia mtoto akizaliwa inabidi uchunguze kiungo kimoja baada ya kingine ili kama ni tatizo lishughulikiwe mapema. Mtoto wenye 'Udata' akiwa analia utagundua tu uliaji wake haupo sawa
 
Ernest Kilewo

Sent from my SM-T211 using JamiiForums mobile app
 

Sure, mimi mwanangu tumemkata akiwa na almost 2 years.
 


,Mimi wa kwangu toka anazaliwa maDk walimgundua maana yy ulimi ulikua haunyanyuki kbs kalishika had mbele kbs,inaumiza sn,alikua haez kitu tena ukimwambia sema lala,lulu hakuna kitu,pole,tushukuru Mungu wanapumua,
 
Mwanangu alikuwa na tabia ya kutafuna nguo na hata magodoro from six month to 4 yrs
 

Mimi nilimpeleka had mhimbili akiwa nna mwezi nmmoja madk wakagoma kasoro mmoja tu akasema mkate hana shida ila walinitisha anaweza kuwa bubu nikaogopa,
 
,Mimi wa kwangu toka anazaliwa maDk walimgundua maana yy ulimi ulikua haunyanyuki kbs kalishika had mbele kbs,inaumiza sn,alikua haez kitu tena ukimwambia sema lala,lulu hakuna kitu,pole,tushukuru Mungu wanapumua,

Kweli mama, uchunguzi kwa mtoto ni muhimu sana, ila sasa wale watoto ambao inakuwa tatizo siyo kubwa inachukua muda kuwagundua mpaka uwe mzoefu.
 
Uzi umenichekesha huu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wangu wa kike birthday party yake ya kutimiza two years ndio tulifanya ka party kwasababu angalau mtoto alishaanza kukua tofauti na ile ya 1year, baada ya hapo kwa miaka mitatu mfululizo kila birthday party ya mtu anasema ni yake. Yaani alikuwa anadhani ni yeye tu duniani ndiye mwenye birthday, utasikia birthday yangu, birthday yanguuuuu kilio, hadi mmkalishe na yeye mbele mmvishe na kikofia mmuimbie happy birthday tu yuuuu.... Ndo aridhike la sivyo shughuli nzima ya birthday party itatawaliwa na fujo. Hi hadi shuleni ishawahi tokea kuna zile birthday za watoto wengine zinawakuta wakiwa shule, wazazi wanaenda kufanya kiparty na classmate's yaani alikuwaga analeta fujo hadi naye wamuimbie ndo aridhike. Alienda mbali zaidi na cake anataka iandikwe jina lake hata kama, sio birthday yake, basi hapo itakuwa kilio siku nzima, Akija home kunihadithia utasikia "maa wamechukua birthday yangu... "
Angalau siku hizi amekua anaelewa.

Uyu mdogo wa kiume 3 years jamani mtoto atanitoa jasho huyu anachua bisibisi anachokonoa kila kitu kuanzia vitasa, anasogeza stuli anapanda hadi akifikie kitasa, anachokonoa Tv, akikuta simu kama ni yakufungua utakuta amesambaratisha kila kitu. Kuna siku niliikuta bisibisi kwenye kijibegi chake cha shule jamani jamani.
 
Watoto woteee n waminifuu[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…