Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

Hapo mwishoni umesema vyama vya wafanyakazi!! Hii nchi kuna vyama vya wafanyakazi? 2% ya mishahara wanayokatwa wafanyakazi inamsaidia nini mfanyakazi?
 
Mkuu unajua kuwa RC ni Rais wa Mkoa husika?
Si kweli hayo ni mawazo yako rais ni mmoja tu tanzania , na hatuna marais wa mikoani
Hapo mwishoni umesema vyama vya wafanyakazi!! Hii nchi kuna vyama vya wafanyakazi? 2% ya mishahara wanayokatwa wafanyakazi inamsaidia nini mfanyakazi?
Sijui maana ni kweli wanakatwa 2%
 
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania Mkuu wa Mkoa ndiyo Rais wa Mkoa,na ndiyo Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, sasa wwe mtumishi uko chini yake, sasa kama umefanya ubadhirifu alafu unataka kukimbia soo lako kupitia uhamisho hiyo imekula kwako, subiri maelekezo ya Mkuu!!
 
Hawa viongozi ni wajinga sana, hawafuati sheria! Wana elimu za kipumbavu sana!
 
Usalama wakati hajui hata kushika bastola na hajawahi kwenda hata mgambo? Bullshit!
 
Usalama wakati hajui hata kushika bastola na hajawahi kwenda hata mgambo? Bullshit!
Sasa kwa taarifa yako Rais wa Tanzania ndiyo Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote hapa Tanzania na hajawai kwenda hata Mgambo, sasa wwe hilo nalo unalizungumziaje!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…