Viongozi 4 wa jeshi la Iran wauawa kwa sumu Syria

Viongozi 4 wa jeshi la Iran wauawa kwa sumu Syria

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa wanajua wanawindwa na Israel halafu wanakula kula hovyo hovyo, haya wamewahishwa kwa mabikira....


The poisoning appears to have targeted the leadership, as all four of those killed have been described as commanders or leaders.

Several others were reported injured in the event, including several leaders in the IRGC’s women’s groups.
Those named include Col. Mortada Mawlawi and a man named Hajj Muqtada. Despite the similar name it is unlikely to be the well-known Iraqi Shia cleric Muqtada al-Sadr.

The cases are believed to be tied to the targeting of leaders of the IRGC and their allies by Israel and the United States during the war in Gaza.
 
Iran wanajua hawapendwi na waarabu ila hawachoki kujichomeka yaani wanataka kupenyeza ushia kilazima kumuudhi Saudia Arabia kingdom..

Arabs wenyewe washachoka na vita ambavyo havina faida kwao
 
Unaambiwa hao Mossad hadi kisukuma wanakijua ni muhimu kuwa makini nao ukitaka shari nao

Mkumbukeni eli cohen mossad aliyetaka kupewa uwaziri wa ulinzi wa syria mwaka 1965 kabla ya kushtukiwa na kunyongwa lkn tayr alikuwa kashapenetrate kwenye serikali na kutoa taarfa kibao kwa israel kama kambi za jeshi za ardhini ambazo alipanda miti juu ya kambi hzo na kusaidia israel kushinda 6 days war mapema baada ya kutumia miti iliyopandwa na cohen kulipua kambi na ghala kubwa za silaha za syria

Licha ya ushabiki wa pande hizi mbili ni muhimu kuwa makini sana na israel hasa mossad they're everywhere
 
Back
Top Bottom