Viongozi CHADEMA kutoka chama A kwenda chama B si dhambi. Karibuni CHAUMMA!

Viongozi CHADEMA kutoka chama A kwenda chama B si dhambi. Karibuni CHAUMMA!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Zipo tetesi kutoka kwenye chanzo makini zinazosema viongozi wengi CHADEMA wapo njia panda, na wengi wanamuogopa mwenyekiti wao, kwa kuonekana wamemsaliti

Chanzo chetu kinaendelea kudodosa viongozi wengi mpaka wa ngazi za juu wanania thabiti ya kuingia CHAUMMA, lakini kauli na morali zao zao zimewabana na mpaka sasa hawajui hatima zao, pia wengi wamekuja kukubali baadae ya kuwa huwezi kupigania haki nje ya bunge la JMT, ni ngumu sana sana, na baadhi wanasema kupigania reform nje ya mfumo haina tofauti na uana HARAKATI

°KWA MOYO MKUNJUFU NIWAKARIBISHE CHAUMMA

Lowassa alitoka CCM, akaingia CHADEMA, lakini baadae alirejea nyumbani, wanachotaka kufanya wafanye mapema kwani si dhambi, waje wawahi form za nafasi mbalimbali.

#Tujenge taifa kwa pamoja!,na tuistawishe demokrasia yetu.
#Mwanakondoo ameishinda mauti.Amen.
1753554932834.jpg
 
Ubunge ni ajira, hakuna hata mmoja anayegombania ubunge nje ya malengo ya kuboresha maisha yake na familia yake.

Leteni hizo pesa mlizopewa na ccm wananchi tunazitaka.
 
Wewe hujui kuwa Ccm na Chauma ni Chama kimoja? Hujui nani aliyenunua helecopta za Chauma kuwa ni CCM. Ukitoka Chadema unaenda CCM siyo Chauma. Jiongeze
 
Back
Top Bottom