Viongozi fisadi kununua nyumba Dubai, Cape Town watajwe- Kingwangala

Viongozi fisadi kununua nyumba Dubai, Cape Town watajwe- Kingwangala

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Kigwangalla ahoji viongozi wa umma walionunua nyumba hivi karibuni maeneo ya Masaki na Oyesterbay zenye thamani ya mpaka dola milioni 6, huku akitaja wengine wana mali za namna hiyo sehemu kama Dubai.

Kigwangalla anahoji kiongozi wa umma asiyefanya biashara anatolea wapi utajiri wa namna hiyo?


View: https://youtu.be/LXOPLm_MNZU?si=YlS-iLDmz-vtq3ON

Wana JF hii ni serious allegations, na hao viongozi husika watajwe!
 
Back
Top Bottom