Viongozi hawa walikuwa wanamtumikia Rais badala ya wananchi

Viongozi hawa walikuwa wanamtumikia Rais badala ya wananchi

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Eti watendaji wengine wakawa wanamtumia tu Rais badala ya wananchi wakawa wanapita huku na kule kuita waandishi wa habari wenye camera ili tu mradi Rais awaone wanafanya kazi bila kujali utendaji wao saa ingine ulikuwa unawaumiza wananchi kweli kweli, Sehemi ingine wananchi wamebaki maskini kisa watendaji kujipendekeza kwa rais awaone wanachapa kazi. Mfano wafuatao walikuwa wanamtumikia RAIS:

1. Arexsander Mnyeti
2. Lengai Ole Sabaya
3. Mkuu wa mkoa wa Iringa na Mbeya (Albert Chalamila na Ally Hapi)
4. Spika wa bunge Mh. Ndugai
5. Makonda
6. Kangi Lugola utendaji wake wa kumtumikia Rais uliumiza watu wengi kweli
7. Jerry Muro

Sasa watu hawa uhusiano wao na jamii utakuwa mbaya sana baada ya rais kuwa hayupo
 
Kwa kuwa rais ni chaguo la wananchi, kutumikiwa ni sawa na kuwatumikia wananchi tu.
 
Back
Top Bottom