"Jambo muhimu la kiongozi ni kusikiliza watu wake, viongozi hamna monopoly right ya wisdom, viongozi hawana monopoly right ya truth, viongozi hawana monopoly right ya wao wako sahihi kila siku na mheshimiwa mwenyekiti hakuna jambo muhimu katika kupanga mipango yoyote duniani kama takwimu"
Kauli hiyo ilitolewa Bungeni na Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe November 9, 2017 alipopata nafasi ya kuchangia mapendekezo yake katika mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo alihoji ni kwanini Serikali inaficha taarifa za kuporomoka kwa pato la taifa?
Swali la kujiuliza Kama kweli Bashe anatambua umuhimu wa viongozi kusikiliza watu kwanini yeye baada ya kupata uwaziri anadharau na hasikilizi watu hasa wanaomshauri kuhusu suala la mbolea na kuingilia madaraka ya Benki Kuu kuhusu Benki ya Ushirika