Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Viongozi wa mabaraza ya miji ya kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wamesema wameamua kukatisha mawasilano na serikali baada ya kuwatelekeza kwa zaidi ya miezi 10.
Wamesema hawataki tena kupigiwa simu wala kutumiwa ujumbe baada ya serikali kuwadanganya kwa muda mrefu na kushindwa kuzuia makombora ya Hizbullah japo walijuwa kuwa wanamgambo hao walikuwa wakijiandaa kupiga maeneo yao.
“We haven’t interested you for 10-and-a-half months, and from now on, you don’t interest us. Don’t call, don’t come, don’t send messages. We have managed alone until now, we will manage,” reads a joint statement by Mateh Asher Regional Council head Moshe Davidovich, Metula Mayor David Azoulay, and Upper Galilee Regional Council head Giora Zaltz, according to The Times of Israel.
aljazeera.