Viongozi katika skendo awamu hii

Viongozi katika skendo awamu hii

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,558
Reaction score
12,335
Babati Naibu waziri katumia chupa kwa kijana wa kiume, Mafia DED kabaka Beki 3 , safari hii RC kalawiti binti kwenye gari.
Yaani ni ukatili na upwiru tu kwa viongozi wa leo.
 
Tukiachana na Ukatili wa Gekul, Utelezi umekuwa hotcake sana kwa waheshimiwa..

Hili nalo la kutazamwa.
 
Back
Top Bottom