Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tweets hizi za Zitto zimenifanya nikumbuke hilo swali ambalo kila wakati huwa linanijia kichwani hasa ninaposoma au kusikia habari kama hizi.
By Zitto kupitia twitter:
"Wengi wakisikia UAE na maendeleo yake makubwa wanadhani ni sababu ya Mafuta na Gesi Asilia. Lakini ukitazama Mauzo Nje ya UAE, utaona mauzo ya Bidhaa zinazouzwa tena (Re-exports) ni makubwa zaidi, USD 135 Bilioni. Mafuta yanaingiza USD 32B na Gesi Asilia USD 8B. Tanzania? 1/2."
"2/2 Nafasi ya Tanzania kijiografia na kuingia kwa Nchi ya DRC kwenye EAC kunaipa Tanzania, hasa mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa, nafasi ya kuwa Kituo cha Biashara kama Dubai na kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa Taifa kwa kupitia Re-exports na transit trade. Tumejipanga?"
My conclusion:
Tanzania na watu wake ni masikini kwasababu ya viongozi wa CCM ambao ni wazi hawana uwezo wa kuitoa hii nchi na watu kwenye umasikini.