Viongozi na makamanda Iran wanavaa baibui kujificha kuuawawa na Israel

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Viongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel.

Netanyahu kaleta hofu Iran hadi wanaume wanashindwa kutoka nje na wakitoka lazima wavae baibui na pia kutembea kwa tahadhari kubwa sana.

Cha kushangaza zaidi wanaogopa sana mida ya usiku. Wanadai Mossad ni hatarii mchana na hatarii zaidi kwenye giza.

My take (ChoiceVariable)

Hii imekaaje kwenye Sunna, Hadith na Musaaf? 😆😅🤣😂

Screenshot_20260325_190649_Instagram.jpg

6 Pack Adiosamigo mdogoee Ritz

adriz de mbusii
 
Kwahiyo huo ndo uthibitisho wa sisi kuuamini. Huyo ni muajemi, Tena ni kamanda wa jeshi na hapo ni teharani.
 
Viongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel.

Netanyahu kaleta hofu Iran hadi wanaume wanashindwa kutoka nje na wakitoka lazima wavae baibui na pia kutembea kwa tahadhari kubwa sana.

Cha kushangaza zaidi wanaogopa sana mida ya usiku. Wanadai Mossad ni hatarii mchana na hatarii zaidi kwenye giza.

My take (ChoiceVariable)

Hii imekaaje kwenye Sunna, Hadith na Musaaf? 😆😅🤣😂

View attachment 3563672

6 Pack Adiosamigo mdogoee Ritz

adriz de mbusii
Ni mbinu ya kimedani
 
Kwa Mossad hiyo sio kinga kwani ile intelijensia ni funga kazi huyo angevaa tu nguo zake za kawaida aendelee na mishe zake.

Kuna magaidi wengine wa kiislam pia huvaa hivyo kuhadaa kwamba ni wanawake na kisha kujilipua na kuua watu wasio na hatia ndio maana katika nchi kama Ufaransa ni marufuku mwanamke kuvaa hivyo.
 
💯💯💯🔥🔥🔥🔥
 
Kiusalama hijab ni vazi lisilo takiwa kabisa
 
Kobaz watakuja kusema n mbinu za kijeshi 😂

Anyway, c walisema Israel wanauwa hadi wanawake na watoto, imekuwaje tena au ndo wanataka kuongeza idadi ya maiti?
 
Back
Top Bottom