Ni mbinu ya kimedaniViongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel.
Netanyahu kaleta hofu Iran hadi wanaume wanashindwa kutoka nje na wakitoka lazima wavae baibui na pia kutembea kwa tahadhari kubwa sana.
Cha kushangaza zaidi wanaogopa sana mida ya usiku. Wanadai Mossad ni hatarii mchana na hatarii zaidi kwenye giza.
My take (ChoiceVariable)
Hii imekaaje kwenye Sunna, Hadith na Musaaf? ππ π€£π
View attachment 3563672
6 Pack Adiosamigo mdogoee Ritz
adriz de mbusii
π―π―π―π₯π₯π₯π₯Kwa Mossad hiyo sio kinga kwani ile intelijensia ni funga kazi huyo angevaa tu nguo zake za kawaida aendelee na mishe zake.
Kuna magaidi wengine wa kiislam pia huvaa hivyo kuhadaa kwamba ni wanawake na kisha kujilipua na kuua watu wasio na hatia ndio maana katika nchi kama Ufaransa ni marufuku mwanamke kuvaa hivyo.
Kiusalama hijab ni vazi lisilo takiwa kabisaKwa Mossad hiyo sio kinga kwani ile intelijensia ni funga kazi huyo angevaa tu nguo zake za kawaida aendelee na mishe zake.
Kuna magaidi wengine wa kiislam pia huvaa hivyo kuhadaa kwamba ni wanawake na kisha kujilipua na kuua watu wasio na hatia ndio maana katika nchi kama Ufaransa ni marufuku mwanamke kuvaa hivyo.