Viongozi na Mashabiki wa Simba amkeni Mapema ZAMALEK Alianza hivihivi Ila leo kila Mtu anajipigia tu

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habari wanajukwaa!

Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu.

Wanasimba Chukueni huo msemo kaeni nao halaf angalien ZAMALEK Leo hii Kila Mtu anajipigia tu saiv wa 9 kwa Ligi.

Screenshot_20231110-203059_Flashscore.jpg
 
Mbona
Habari wanajukwaa!

Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu.

Wanasimba Chukueni huo msemo kaeni nao halaf angalien ZAMALEK Leo hii Kila Mtu anajipigia tu saiv wa 9 kwa Ligi.

View attachment 2809863
Mbona Ihefu huwa anajipigia tu pia hiyo ngoma ya "wananchi" au unajifanya haufahamu?
 
Huu mvurugano unakuzwa na mashabiki mbumbumbu. Yaani kufungwa mechi moja tu ndiyo imekuwa nongwa!
Utakuwa mpumbavu sana kama hujui taharuki hii inahanikizwa na ubovu wa uongozi hasa mwenyekiti anayeshindwa kuwa mkweli kuonesha tatizo ni nini.
Kwa lugha nyingine kama yeye haoni tatizo basi yeye ndio tatizo.
Mashabiki wasiposema haisaidii kwani viongozi wao wanaona sawa timu iwe kama Ihefu ikimuotea yanga wanafurahi,lakini hata ikiishi kinyonge mradi inashika nafasi ya tatu wao hawana shida.

Mimi natamani ukweli usemwe hata timu ikishuka daraja ni sawa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi sema kama kuna watu walikua wanasema kocha ni mbovu basi walikua na mihemko na hawajui mpira..
Matatizo ya simba sio Kocha.
 
Simba wanapelekeshwa mihemko ya washabiki wao shida sio kocha....
Kabisa mkuu. Nakumbuka mashabiki wa yanga walivyotaka kufanya hivyo kipindi yanga anatolewa club bingwa na Al Hilal, Hersi aliwakemea kuwa wakae kimya, wao ni wala mihogo tu, hawajui gharama za kuihudumia timu.Tangu hapo, mambo yamekuwa shwari kwa upande wao.
 
Simba wanapelekeshwa mihemko ya washabiki wao shida sio kocha....
Mbona shida ipo inaonekana na wanatafuta wakubeba lawama wamemfukuza kocha ila bado kazi wanayo yanga waliumia kwa muda ila akili zikawakaa sawa now wanapeta. Simba wanamkumbatia mwamedi bosi makelele yule ndio zimwi la simba
 
Back
Top Bottom