Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani?

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.
 
Asante Msemaji Msaidizi wa CDM! tunaendelea kusubiri BREAKING NEWS toka KWAKO! Usikate TAMAA
 
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.
Ndo maana nasema wewe ni hamnazo, iliyozinduliwa ni ofisi ya Chama au ni jengo kama jengo? Duniani kuna ofisi nyingi zimepangisha kwenye majengo ya watu na ccm ikiwemo. Je huwa hazizinduliwi? Je unajua maana ya kuzinduwa kitu ni nini? Mimi sehemu niliyotoka karibia wilaya nzima robo tatu ya ofisi za ccm majengo siyo ya kwao . Je hizo hatuwezi kuziita ofisi za ccm?
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Chizi huyo, ccm inazinduwa hadi mashina kwenye nyumba za watu, tena linajengwa kaburi tu mbele ya nyumba ya mtu wanazinduwa.
 
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.
20250514_174427.jpg

Na hawa wanaolaghai wananchi kwa vivuko fake?
 
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.
Duru zinasema hiki kisirani kinasababishwa na mimba ya changa uliyonayo na iliyokosa matunzo
 
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.

Aiseeee.wewe ni poyoyo
 
Ndo maana nasema wewe ni hamnazo, iliyozinduliwa ni ofisi ya Chama au ni jengo kama jengo? Duniani kuna ofisi nyingi zimepangisha kwenye majengo ya watu na ccm ikiwemo. Je huwa hazizinduliwi? Je unajua maana ya kuzinduwa kitu ni nini? Mimi sehemu niliyotoka karibia wilaya nzima robo tatu ya ofisi za ccm majengo siyo ya kwao . Je hizo hatuwezi kuziita ofisi za ccm?
Ushawahi ona jengo la kupanga Lina kibao cha uzinduzi?
 
Ndo maana nasema wewe ni hamnazo, iliyozinduliwa ni ofisi ya Chama au ni jengo kama jengo? Duniani kuna ofisi nyingi zimepangisha kwenye majengo ya watu na ccm ikiwemo. Je huwa hazizinduliwi? Je unajua maana ya kuzinduwa kitu ni nini? Mimi sehemu niliyotoka karibia wilaya nzima robo tatu ya ofisi za ccm majengo siyo ya kwao . Je hizo hatuwezi kuziita ofisi za ccm?
Aisee
 
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.
ni kama wamechanganyikiwa tu.
sasa chama ambacho hakina hata sifa za kisheria za kushiriki uchaguzi ofisi ya nini kwanza, halafu tena ofisi yenyewe fake?šŸ’
 
Back
Top Bottom