Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani?

Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.
Cdm wamefanikiwa kuruka kile kuhunzi cha kutegemea ruzuku, kihunzi hicho kilitumika sana kuumiza vyama vya upinzani vyenye nguvu huko nyuma.Yaani mbinu karibia zote ccm walizotumia huko nyuma kudhoofisha vyama vya upinzani, kwa cdm zimekwama. Hiyo ni ishara kuwa sasa ccm inafikia tamati, kwa Amani ama hata kwa umwagaji damu, lakini mwisho umefika.
 
Sasa si unaona wanazindua ofs za kupanga inamaana Hela za kujengea ofs wamejengea nyumba zao na kula
 
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.
 
Attachments

  • Screenshot_20261007-205930.png
    Screenshot_20261007-205930.png
    155.5 KB · Views: 3
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA mnazindua ofisi fake ili mumfurahishe nani? Nani aliyewaambia kuwa nyumba ya kupanga huwa inazinduliwa?

Sijajua waandishi wa habari walipigwa mlungula ili wasionyeshe paa la nyumba wanayodai ni jengo jipya la ofisi ya chadema🤣🤣🤣

Kiukweli kiongozi wa Chama kuzindua nyumba ya kupanga wanayodai kuwa ni ofisi ya CHADEMA ni WIZI na niutapeli mkubwa, yafaa wajihudhuru nafasi zao.

Sijajua chadema wataacha lini siasa za kitapeli tapeli.
Nilitarajia picha ya nyumba hiyo wewe utatuwekea!!

Chuki zako dhidi ya Chadema zitakumaluza!!

Hata kama wakizindua nyumba fake wewe Mjinga na Mpumbavu itakusaidia nini?
 
Kwanini mzindue nyumba fake?
Mnamfurahisha nani
 
Kuna ubaya Chadema wakiiga nyayo za ccm ambao ni mafundi wa siasa za kibabe na kilaghai duniani.
Hahahaaa CCM tunafanya siasa za kidemokrasia...ubabe upo CHADEMA
 
Attachments

  • 20250617_023653-1.jpg
    20250617_023653-1.jpg
    74.1 KB · Views: 7
Back
Top Bottom