MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Baada ya kamati kuketi na kuthibitisha pasi na shaka kwamba maamuzi ya mwamuzi dhidi ya Namungo fc hayakuwa sahihi, hivyo kupelekea wao kucheza pungufu na kupoteza mchezo wao, Natarajia viongozi wa Namungo fc waandike barua na kuomba hatua zaidi zichukuliwe kwani ubovu wa maamuzi ya mwamuzi yamewagharimu.
Kukaa kwao kimya kutasababisha hali hii ya ukandamizaji kwa vilabu vidogo vikiendelea, TFF na Bodi ya Ligi wanapaswa kuwajibika kwa kuchukua hatua kali zaidi ili iwe fundisho kwa waamuzi na irudishe hadhi ya Ligi yetu.