Viongozi Namungo fc Jitokezeni kudai hatua zaidi baada ya uonevu mliofanyiwa, Vinginevyo ukandamizaji huu utaendelea

Simba ni Tatizo kweny Mpira wetu!! Uchunguzi ufanyike,, wawajibishwe vilabu hivi vinavyoharibu mpira
Mkiona Simba anawapelekea moto mnaulilia Kwa sauti ya manung'uniko, Kwani ni aje IMEPENYA?
 
Kwani huwa anaoshia wapi miaka yote?? 😀 5imba haijawahi kuvuka Robo fainali CAF kwa sababu ya aibu kama hizi
Lini Simba walipangwa na timu dhaifu kama Rivers United na Marumo ikashindwa kufika nusu fainali au kuchukua kombe kabisa?
 
😂 utu uzima ni kitu gn we mwamba ni kama dishi linatikisika hv point kwenye mpira,,,, huna sehemu ya kupeleka point mpira si point ni mtazamo wa mtu huo utu uzima ila kichwa wazi
Don't take it serious kiongozi by the way wote Yanga na Simba wanafanya vitu vingi vya hovyo. Tuisaidie ligi yetu
 
Simba angekuwa tatizo kwenye mpira wetu kimataifa kila mwaka angekuwa anaishia hatua za awali tu anatolewa kama ilivyo kwa wale wengine.

Na ndiyo Maana unaona wale waliochukua ubingwa wa mchongo na mshindi mwenza (Azam) sasa hivi wako nje kwenye mashindano ya CAF na yule ambaye alikuwa wa tatu kihalali mpaka sasa yuko robofainali CAFCC .
Matukio ya Simba yanaonekana kwa uwaz sana.
 
Don't take it serious kiongozi by the way wote Yanga na Simba wanafanya vitu vingi vya hovyo. Tuisaidie ligi yetu
Sidhani kama ni simba na yanga hio si issue wao wanatimiza wajibu ni uwezo mdogo wa marefa wetu na shida si timu wao wafanyaje ndio maana nikauliza kwan simb wanahusikaje na kadi nyekundu au refa ni kiongozi wa simba?
 
Simba isihusishwe kabisa kwenye ujinga wa waamuzi. Karibu Mechi zote za ligi zimekuwa na makosa ya kihuni kabisa ya waamuzi. Nilishangaa tukio la Wazi kama hili la Namungo kutetewa na Athmani Kazi na wenzake kwenye kipyenga cha mwisho wakidai refa alikuwa sahihi maana inawezekana aliona Peke yake. Yaani uwanja mzima Hadi mtendewa hakuona alichotendewa isipokuwa refa tu?
 
Sidhani kama ni simba na yanga hio si issue wao wanatimiza wajibu ni uwezo mdogo wa marefa wetu na shida si timu wao wafanyaje ndio maana nikauliza kwan simb wanahusikaje na kadi nyekundu au refa ni kiongozi wa simba?
Ni kweli wapo marefa ambao ni disqualified,

Mim nna ndug yangu ni refa championship anasema suala la kufuatwa na klabu ili uipendeleee... Ndo huwa linawapa maisha mazuri

Posho ya muamuzi haizid laki tatu au mbili, na hawalipwi mshahara ni mechi after mechi

Unafikir mtu akiitwa akapewa hata 5m hachomeshi?
 
Kirabu kikubwa kama simba kucheza na namungo haina haja ya kulipa refa wakati mgunda yupo, ingekua rahisi kuamini mgunda kuuz match kuliko refa hio ni mitazamo marefa hao wa levo za championship bado ni hamna kitu tu kama wa mtaani,,, Marefa wa bongo wanakimbilia chaka la kuuza match kukwepa udhaifu wao inshort marefa wa bongo huo urefa walikosomea wanajua wao,,, wanafanya vitu nanadhani kama si uwezo mdogo na akili finyu wengi wamebet huko marefa wanabet hawanunuliwi na timu pinzani,,,, kuna Refa kama Arajiga huyu ni the best refa mTz sijawahi ona kuna watu niliwahi kuwaambia kama unajua mpira huyu refa ni refa wa viwango sana,, hana mihemuko hata kama ni makosa mara nyingi si ya kushangaza ndo yale ulaya wanaita VAR na kwel siku si nyingi kapaa huko CAF,,,,, inshort marefa wa bongo wengi uchwara na wanabet... Tena bet zao sio fulani ashinde ndo kama huyo red card, penat nk simba wakiingia ground wanaonekana wamenunua 😂
 
Mayombya alipewa red card mech prison Vs Yanga akanyimwa na penalty baadae Kadi ikaja kufutwa. Ni mambo ya kawaida kwenye soka letu, huwez kupata ubingwa bila kuchanganya mbinu halali na zisizo halali
 
Kirabu kikubwa kama simba kucheza na namungo haina haja ya kulipa refa wakati mgunda yupo, ingekua rahisi kuamini mgunda kuuz match kuliko refa hio ni mitazamo marefa hao wa levo za championship bado ni hamna kitu tu kama wa mtaani,,, Marefa wa bongo wanakimbilia chaka la kuuza match kukwepa udhaifu wao inshort marefa wa bongo huo urefa walikosomea wanajua wao,,, wanafanya vitu nanadhani kama si uwezo mdogo na akili finyu wengi wamebet huko marefa wanabet hawanunuliwi na timu pinzani,,,, kuna Refa kama Arajiga huyu ni the best refa mTz sijawahi ona kuna watu niliwahi kuwaambia kama unajua mpira huyu refa ni refa wa viwango sana,, hana mihemuko hata kama ni makosa mara nyingi si ya kushangaza ndo yale ulaya wanaita VAR na kwel siku si nyingi kapaa huko CAF,,,,, inshort marefa wa bongo wengi uchwara na wanabet... Tena bet zao sio fulani ashinde ndo kama huyo red card, penat nk simba wakiingia ground wanaonekana wamenunua 😂
Well said
 
Back
Top Bottom