Viongozi ndiyo wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko, FCC yatoa taarifa leo. Mashabiki na wanachama wa Simba mtadanganywa hadi lini?

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO.

- Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita.

-Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa klabu ya Simba,kulikuwa na uharaka gani wa kuteua Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wakati mchakato wa Mabadiliko haujakamilika..!??

- Katika Taarifa ya Tume (Maelezo Zaidi pichani) imeutaarifu umma kuwa ucheleweshwaji wa mchakato (transformation) wa kubadili mfumo wa uendeshaji wa Klabu ya Simba unatokana na mwitikio hafifu wa kampuni ya Simba Sports Club Company Limited wa kuwasilisha taarifa kamilifu na kwa wakati mbele ya Tume katika kufanikisha uchunguzi Kama ulivyoainishwa Katika Taarifa hiyo.




Updates Tar 20-11-2020

Simba yaijibu Tume ya taifa ya ushindani






 
Moo dewji ana hisa % ngapi? Kuna sehemu nilisikia wanachama hisa 51, wawekezaji wasiopungua 3 hisa 49, au Moo kachukua 49% peke yake?
 

Mo aache timu irudi kwenye mambo ya michango basi

Ndio tunachokitaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wabaya,hii picha vp......
Mudi 2016: hadi wenzangu wananiuliza nimeweuka ama B20 nyingi
Mudi 2019: msifanye masihala na B20, zinaweza hata kufungua benki
Mudi 2020: Simba ni familia yangu sipo kimasilahi, naipenda sana Simba, Simba nguvu moja

NOTE: Mo Simba Arena, Mo Simba foundation, Barbra, jezi imejaa ma Mo kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…